Forex Trade imeniumiza

Forex Trade imeniumiza

Mkuu, unaongea sana ila nadhani haujawahi kutrade on your own. Hii ni kama ngoma ya asili, huwezi kuelewa hadi uingie ucheze. Na haujui how long I've been in business, kwa kifupi kwa stage nliopo situmii mtaji wangu, natumia mtaji wa kampuni (prop. firm trading, you can Google that). Nishavuka vihunzi vingi, me nafikiri 5-10 years there's a lot to celebrate siwezi leo nikaondoka kambini,ntakuwa nakosea. Traders wa kweli hawaongei sana, mfano huyu jamaa huwa namkubali sana, very calm na sijawahi muona akijibizana na watu ovyo ovyo tangu nijiunge na Jf enzi za P.D Proxy. Heshima yako mkuu Mwl.RCT Trading is a craft, ni sawa na ukianza kufanya muziki, you may have overnight success but in the long run lazima ujifue na ujitambue wewe ni msanii wa namna gani. Siwezi kuwaongelea rafiki zako, siwezi kujua ni traders au watu wa namna gani but personally me naona nitafia hapa. Ndio kotu nachojua mbali na yale tuliosoma vyuoni na hela nimezishika na hela nishapoteza, that's how the business is, hata casino sometimes wanaliwa na wala hawafungi biashara na kwenda kufanya mambo mengine.
Poa
 
Mkuu, unaongea sana ila nadhani haujawahi kutrade on your own. Hii ni kama ngoma ya asili, huwezi kuelewa hadi uingie ucheze. Na haujui how long I've been in business, kwa kifupi kwa stage nliopo situmii mtaji wangu, natumia mtaji wa kampuni (prop. firm trading, you can Google that). Nishavuka vihunzi vingi, me nafikiri 5-10 years there's a lot to celebrate siwezi leo nikaondoka kambini,ntakuwa nakosea. Traders wa kweli hawaongei sana, mfano huyu jamaa huwa namkubali sana, very calm na sijawahi muona akijibizana na watu ovyo ovyo tangu nijiunge na Jf enzi za P.D Proxy. Heshima yako mkuu Mwl.RCT Trading is a craft, ni sawa na ukianza kufanya muziki, you may have overnight success but in the long run lazima ujifue na ujitambue wewe ni msanii wa namna gani. Siwezi kuwaongelea rafiki zako, siwezi kujua ni traders au watu wa namna gani but personally me naona nitafia hapa. Ndio kotu nachojua mbali na yale tuliosoma vyuoni na hela nimezishika na hela nishapoteza, that's how the business is, hata casino sometimes wanaliwa na wala hawafungi biashara na kwenda kufanya mambo mengine.
Hell before paradise, huo ndio ukweli.

Hio ni Discord server ya prop. firm traders wa moja ya makampuni nayoyafahamu na kujihusisha nayo somehow.

Trading is a very demand career lakini si kuwa haiwezekani.
Screenshot_20211127_104203.jpg
 
Mkuu marker huwa inatengeneza zone, ama high hingh and lower lows, ambapo mostly zone zikivunjwa market hurudi ku retest na kwenda juu ama chini zaidi sasa wewe kushindwa kujua market itashuka mpaka wapi hayo ni mapungufu ya skills zako sokoni

Unaweza kutumia fibo kwa confirmations zaidi View attachment 2020095
Naona price inajielekeza kibla yenyewe, Bearish flag+trendline+resistance zone+moving average
 
Forex is not a holy grail! It's a profession like any other kutokana na maelezo yako inaonekana bado hauna muda mrefu kwenye game,forex ni biashara na ni pana,forex inahitaji KNOWLEDGE which covers all aspects of trading,kuanzia technical analysis, fundamentals trading psychology, risk management,strategy inayokufaa,risk management na mengine na inahitaji kuwekeza MUDA wako mwingi in trading, watu wanapozungua ni kuona kama forex ni sehem ya kutajirika haraka,which is wrong ukiingia kwenye hii game inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu kwenye kipindi cha kujifunza the maana the pain of losing money is tough,kufanikiwa kwenye hii industry inatokana na mtu na mtu the minimum time mtu anaweza tumia kumaster trading ni kama miezi 6(Achana na kuwa profitable) hiyo ni safari nyingine but muhimu ni Ku master the art of trading the rest will come,so invest kwenye knowledge kwanza find your suitable strategy well kabla sijasahau unaweza ukatafuta mentor atakae kuongoza in trading (angalia usije kupigwa mentors wengi saiv ni scammers) tafuta mentor Legit wapo hapa bongo wengi tu, na Kama umechoma account moja tu unakuja kuandika uzi huku basi forex haikufai this industry requires emotional toughness.Forex is not for the weak,kila la kheri mkuu
Brain answers
 
Forex trade haina tofauti na betting, unaweza kula au kuliwa dakika yoyote.
 
Utajikaanga na mafuta yako mwenyewe kama kitimoto. Ukipata senti yako yoyote kafanye biashara za kueleweka sio hizo za kekundu keupe.
Ningepata mtu anipatie milioni 10 niwekeze kwenye haya makitu ingekuwa poa sana maana naona kwa sasa nimeiva hasa
 
njooni tufanye biashara ya samaki
natafuta partner wa biashara ya samaki anayeweza kufanya biashara na Mimi ya Samaki kutoka ruvu upande was Simanjiro Manyara

Sifa
awe na uzoefu wa biashara ya Samaki ayajue masoko
awe na usafiri unaoweza kubeba kuanzia Tani moja( Noah dume townace au Hilux)
awe tayari kuingia moja kwa moja kwenye eneo la kutafuta samaki
awe na mtaji Kama wa kwangu au ulionizidi kidogo

Upatikanaji wa Samaki

Samaki Aina ya tilapia/Sato au perege wanapatikana kwa wingi eneo linaloitwa Zambia Mazinde Hadi Remiti wilayani Simanjiro

huku wanauza kwa ndoo ndoo moja ya tilapia ni Kati ya elf 70 Hadi 80 catfish au kambale ni Kati ya elf 40 Hadi 55

mAsoko;
tunaweza kuuza kwenye mAsoko nliyozoea kupeleka samaki

Manyema
Bei za samaki sokoni Zina range Kati ya laki na 20 Hadi 90 soko likiwa baya kwa tilapia na Kati ya sh 80 Hadi 60 soko likiwa baya

Kilombero Arusha

Bei za samaki sokoni Zina range Kati ya shilingi laki na 40 Hadi 90 soko likiwa baya kwa tilapia na Kati ya sh 80 Hadi 70 kwa kambale

kuuza kwa kg
ndoo moja ya sato au tilapia Ina kg 18kila kilo moja ni sh 7000 ukiuza kwa kilo unapata avarage ya 130000 kwa kila ndoo ya tilapia na ndoo ya kambale Ina kilo 20 kila kilo no sh 3800 ukiuza kwa kilo kila ndoo unapata 76000
changamoto ya kuuza kwa kilo no kupata mteja was kununua kg zote na kukulipa kwa cash wengi wanaopenda kukopa
kwann tufanye biashara ya samaki

ni biashara ambayo ipo real ukinunua ukifungasha ukisafirisha unajua ushakua unapata faida gani na kwa muda gani

ni biashara ambayo ukiwa nje unaweza kuwaona watu ni wajinga wanuka shombo lkn ukiingia ndani ya field Kama una mtaji nlokutajia hapo juu utapata faida haraka zaidi ya biashara yoyote


kwann nahitaji partner
niliiibiiwa mtaji Kati ya mwezi wa 8 na 9 hivyo nimeshindwa kurudi kwenye pick Kama nlivyokua mwanzoni

mawasiliano nicheki dm
 
Those who mostly winning in forex and betting wanabase kwa kuangalia mathematics zaidi kuliko graphs (forex) and timu (betting)

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habari Wakuu,

Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.

Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.

Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.

Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu

Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.

Mmc
When it come in learning forex, [emoji2957][emoji3539][emoji3539][emoji2]
IMG-20211230-WA0006.jpg


Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom