Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

Hao fountain miaka nenda rudi wameshindwa kuoandsha team daraja wanajivunia team ya wanawake!!

Kuna game walicheza na UTo kule Avic wakawabandua 4-1 uto wakaficha matokeo
 
huu kama sio utakatishaji pesa wa kina madelu sijui.......
ngoja tuangalie viongozi wa fountain watakua kina nani.....
ukiona festo sanga basi ni madelu kaamua kutakatisha pesa za mikopo
 
walishanunua baobao siku nyingi
 
huu kama sio utakatishaji pesa wa kina madelu sijui.......
ngoja tuangalie viongozi wa fountain watakua kina nani.....
ukiona festo sanga basi ni madelu kaamua kutakatisha pesa za mikopo
Festo Santa ndo nani?
 
alikua msaidizi wa mwigulu kuanzia 2012 hvi, kisha baadae akawa mkurugenzi singida united, 2020 aligombea ubunge, kwa sasa naambiwa ni mbunge huko kwao makete (wakinga watanisahihisha kama nimekosea).......
Asante Kwa hili faili
 
Hii nchi inabidi kuwa makini uza uza imezidi sana.......

Unaweza ukaamka asubuhi ukajikuta una mb*o plain bila p*mbu huku elfu hamsini wameisukumiza ndani ya chup na sms kwenye cm ikisema IYO ELFU HAMSIN ENDELEA KUITUMIA TUSHANUNUA HIZ MBUPU
Haya mawazo haya yasikupe tu ndoto za ajabu ajabu.
 
Sheria ya mashindano ya CAF msimu huu bila kuwa na timu ya wanawake timu haitaruhusiwa kushiriki mashindano hayo.

Labda wameamua kujipachika huko ili wapate ticket.

Lakini pia utakatishaji wa fedha unaweza kuwepo.

Bongo janja janja nyingi sana!
Hoja yako ya kutakatisha kwa mbaaaaali inaniingia akili...ukisikia kamati tendaji ilioteuliwa kuisimamia timu unamkuta bwana Mn.yet.i mmiliki wa gwambina lounge na gwambina fc...ukiunganisha dot na bwana madelu nae yupo unapata kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…