TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

Poleni familia,nimesoma sana mabandiko yake kwenye magazeti ya Rai na Raia Mwema.
 
Pumzika kwa amani Padre Karugendo, Mungu aliekuteua katika ukasisi na kupakwa mafuta matakatifu kwa kwenda kutakatifuza taifa lake, na zaidi kwa huruma yake yeye Mwenyewe(Mungu) na kwa maombezi ya mama Maria mwombezi mkuu,Mungu amsamehe pale alipokosea na huruma ya mama kanisa ikawe juu yake.

Pumzika Kwa Amani Kuhani Mkuu[emoji120][emoji17][emoji24]

Huyu jamaa walimtoa ktk huduma lakini upadre huwa haufi ni kama alivyo ndugu Pd.slaa.[emoji120][emoji120]
 
Pamoja na upadri wake anaenda kuoza na kuliwa na mchwa, nyungunyungu, sisimizi, na maduduwasha 😂😂😂.

Mlidhani nyie hamtokufa eeh?
Hili si andiko lako mkuu, nadhani dogo kashika simu yako kwa muda.
 
Corona ipo na inaua
 
Nimekumbuka gazeti la Rai la zamani. Nilikuwa silikosi kila Alhamisi.

Rip
 
Nilikuwa nawaza kuwa kumbe hata wao nao huwa wanakufa na kuoza na kuwa mlo wa funza!

He is dead [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Go bury him now.

Funza wanaenda kufaidi huko udongoni.
Walijua Magufuli Ndio Atakufa Tu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Namba 3 hiyo..Rwanda wamecancel harusi zote. Makala ataja watu wavae barakoa. Serikali yajiwinda na maonesho ya 77. Tutafika tu tunapotaka kufika. R.I.P Karugendo japo makala zako zilikuwa ndefu.
Acha lamli
 
RIP..baba...upumuzike kwa amani.....
 
Kazi yake ameimaliza,ameifanya vema kwa Taifa pia. Kazi ya tuliobaki kumalizia maoni yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…