muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Poleni familia,nimesoma sana mabandiko yake kwenye magazeti ya Rai na Raia Mwema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nami nianzie hapa labda nitaambulia kituDuh. So sad. RIP Fr. Karugendo. Namfuatilia sana mada zake kule twitter
Hili si andiko lako mkuu, nadhani dogo kashika simu yako kwa muda.Pamoja na upadri wake anaenda kuoza na kuliwa na mchwa, nyungunyungu, sisimizi, na maduduwasha 😂😂😂.
Mlidhani nyie hamtokufa eeh?
Corona ipo na inauaBaba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.
18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.
19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.
19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
Halafu wewe kajamaa hunaga akiliKama mlivyo nyumbu [emoji6][emoji1787]
Nani alisema hawafi?Kumbe nanyi huwa mnakufa [emoji23][emoji23]
Lini funza wataanza kumla huyu? Kesho?
Walijua Magufuli Ndio Atakufa Tu [emoji3][emoji3][emoji3]Nilikuwa nawaza kuwa kumbe hata wao nao huwa wanakufa na kuoza na kuwa mlo wa funza!
He is dead [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Go bury him now.
Funza wanaenda kufaidi huko udongoni.
Acha lamliNamba 3 hiyo..Rwanda wamecancel harusi zote. Makala ataja watu wavae barakoa. Serikali yajiwinda na maonesho ya 77. Tutafika tu tunapotaka kufika. R.I.P Karugendo japo makala zako zilikuwa ndefu.
RIP..baba...upumuzike kwa amani.....Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.
18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.
19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.
19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
Wewe hukujua?Walijua Magufuli Ndio Atakufa Tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukijua ww InatoshaWewe hukujua?
Kwani kafa kwa Corona ndgu..?? Sio kweliMLIDANGANYWA MAOMBI YA SIKU 3 YAMEMALIZA CORONA.
Mambo ya Kinjekitile Ngwale hayooo!
Uzuri ni kwamba kayafa ndio alitangulia[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walijua Magufuli Ndio Atakufa Tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Even though Mzee tulijua Nyie wazee Wa Brazzers Yunivasiti Hamtangulii [emoji3][emoji3]Uzuri ni kwamba kayafa ndio alitangulia[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]