TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Nakumbuka Ndugai aliwasa sana wabunge kujijali maisha yao hasa upanda wa boda mjini dodoma,(Japokuwa kifo hakina hodi)
Nilikumbuko hilo pia.
Pikipiki ni nzuri sana kwa nchi ZILIZOSTAARABIKA NA SIO BONGO
 
Kawaida sana kwani kusema pole ndio kubadili dhamira?.
 
Daaah kumbe nao wanakufa?
Mungu mpunzishe anapo stahili Amen [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…