TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

huyu si yule alikuwa pedeshee na wenzake kina msofe
 
Poleni wafiwa,huu mwili haukua na mazoezi na haukua na mfumo mzuri wa ulaji .

Hata hivyo kufa ni faradhi ,bwana ametoa ,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe
 
Kwa nini madereva wa Ras!!!!!???
 
Akiwa chato mnasema kakimbia,akiwa Dodoma mnasema kakimbia,akiwa dar Pia mnasema kakimbia.
Hatujasema amekimbia,ila itakuwa vyema apatikane ikulu dodoma.ikulu ya mkoani dar si imehamia makao ya nchi.haya Mambo ya kuendelea kuonekana mkoani tena ,si vyema Sana.
 
Mdogo wa Lemutuz? R.I.P
 

Apumzike kwa amani.

Sera mufilisi kuliko maelezo. Acha wa kufa wafe wa kuishi waishi.

Hapana kufanya jitihada yoyote.

Kesho wengine itakuwa zangu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…