Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

kwa hasira nilizonazo nafikiri siwezi vumilia kuwa na mtoto wa hivyo
Kwani ni hiyari yako azaliwe hivyo?
Huoni kwamba amezaliwa hivyo na Kama Kuna yaliyotokea yametokea baada ya kuwa hivyo alivyo?
Yawezekana akawa ni abnormal kwa maana ya kuwa na hormone nyingi za kike kuliko za kiume au hata anazo jinsi zote mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…