Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

Lazima kutambua uwepo na third gender, na haki zao kuheshimiwa.
thinking.png


thinking2.png
 
kwa hasira nilizonazo nafikiri siwezi vumilia kuwa na mtoto wa hivyo
Kwani ni hiyari yako azaliwe hivyo?
Huoni kwamba amezaliwa hivyo na Kama Kuna yaliyotokea yametokea baada ya kuwa hivyo alivyo?
Yawezekana akawa ni abnormal kwa maana ya kuwa na hormone nyingi za kike kuliko za kiume au hata anazo jinsi zote mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom