Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

daa huyu jamaa nilikuwa namuona pande za UDBS Mara nyingi, na alikuwa ananishangaza sana kuanzia uvaaji wake na Mara nyingi alikuwa anaongozana na wanafunzi wa kike tu, na amehitimu 2015 pale kama sijakosea.
Alikuwa anakaa Survey (karibu na Survey Motel) niliingia mpaka ghetto kwake. Msafi sana hana harufu kabisa
 
Alifanyaga kazi vodacom kama mpiga picha wa event zao nilikuwa namwona
Na alikuwa anaishi mwenge mwaka 2016 tulikuwa majirani ni mzuri huyo msafi hatari sauti nyororo ngozi laini aiseee afu hips zimejazia vizuri yaani huyu nilikuwa siishiwi kumtizama nikikutana naye
 
Kijana huyu nadhani ametoka familia bora maana angekuwa toka familia zetu hizi wajomba na waalimu wa madarazza wangeshampoteza
 
Mnatoka mbwinde huko na matatizo yenu mnakuja Dar kutafuta soko, hapa mnakutana na maluuni wenzenu wanawavuruga halafu mnajiita wanaume wa Dar #@%^^^*)(&^*^
HHaaahhah wape habari Mkuu,wanauchafua sana Mji wetu kwa tamaa na njaa zao huko walikotoka.
 
Ukweli huyu kijana ni maumbile tuu ndiyo yanayomuangusha. Lkn cha ajabu watu wamemkejeli na kumtusi juu kuwa ni punga and the like.

We all know that he didn't choose his body morphology. Nature has it all. Sasa tusimkejeli na kumtusi kuwa ni punga mara ooh anawakilisha wanaume wa Dar.....

Inamaana waume zetu wanaoishi Dar wasioge? Wasivae vzr? Wanuke mdomo na viatu? Ama kuwa mchafu, unanuka hauko nadhifu ndio sifa za nyie wanaume wa mikoani?

Mnadhani mama wa huyu kijana anajiskiaje? Ama nilitaka amuue kisa ana hips?

Mbona wapo wanaume wengi tuu wenye hips na matako makubwa? Tuseme nao ni mpunga?
 
Alifanyaga kazi vodacom kama mpiga picha wa event zao nilikuwa namwona
Na alikuwa anaishi mwenge mwaka 2016 tulikuwa majirani ni mzuri huyo msafi hatari sauti nyororo ngozi laini aiseee afu hips zimejazia vizuri yaani huyu nilikuwa siishiwi kumtizama nikikutana naye
Aisee
 
Ukweli huyu kijana ni maumbile tuu ndiyo yanayomuangusha. Lkn cha ajabu watu wamemkejeli na kumtusi juu kuwa ni punga and the like.

We all know that he didn't choose his body morphology. Nature has it all. Sasa tusimkejeli na kumtusi kuwa ni punga mara ooh anawakilisha wanaume wa Dar.....

Inamaana waume zetu wanaoishi Dar wasioge? Wasivae vzr? Wanuke mdomo na viatu? Ama kuwa mchafu, unanuka hauko nadhifu ndio sifa za nyie wanaume wa mikoani?

Mnadhani mama wa huyu kijana anajiskiaje? Ama nilitaka amuue kisa ana hips?

Mbona wapo wanaume wengi tuu wenye hips na matako makubwa? Tuseme nao ni mpunga?
Usimtetee
Mimi nimesoma na jamaa high school alikua na body na gesture za kike ila nguo anavaa za kiume
Huyu jamaa yeye hadi anavaa nguo za kike so member wana haki wamtukane
 
Back
Top Bottom