NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Aiseh umeua Sana!Lakini jk sio nondo wa kusoma na kutunga hivi!! GPA yake inasadifu kabisaaa!!mleta nada NI msomi hasa tena fasihi andishi aliyebobea tena sio Mwanasiasa wa maneno MENGI!!cheki utunzi Wake utaniambia!!@TumiaAkili ni KIKWETE.
Ataondokaje huyu mama tozo?Mwakani anaweza kuondoka
Never use this phrase “will never happen”Will never happen,mark my words
Hao watu wa ccm akili hawanaNever use this phrase “will never happen”
Kuna watu walidhani Magufuli atakuwa rais wa maisha. Sasa hivi wanagongwa na vitu vizito vichwani maana wenye CCM yao wamerudi kwa speed ya 7G
So, stay put. Anything is possible at any time
Thibitisha kauli yakoJamaa ni Mungu au?. Kukopa JPM alikuwa akikopa kwa siri, hadharani anawakandia wazungu lakini akishuka anamfuata Dotto na kumwagiza akaonane na hao hao wazungu aliokuwa akiwatukana mbele ya hadhara.
bila shaka wewe ni mgeni wa maandishi ya tumia akili.
Acha uongo wa wazi waziJPM ndiye rais aliyekopa kuliko wote tangu 1961 na Ndugai akiwa spika alikaa kimya, aliufyata kama haoni kilichokuwa kikiendelea.
Leo analeta dharau kwa sababu anamuona rais ni mwanamke.
Nenda hazina watakupa takwimu zote sahihi.Acha uongo wa wazi wazi
Muulize bosi wa hazina enzi hizo, Dotto James atakupa kila kitu.Thibitisha kauli yako
wenye nchi ni nyie wanaccm tu. Kwenye matatizo yenu msituwekeKama wananchi kwa umoja wetu bila kujali itikadi za vyama, tutaruhusu nchi hii kuwa ya Kifalme, basi Mwigulu atakuwa na akili sana kusema tuhamie Burundi, alafu sisi tuliobaki ndio wajinga na si yeye kama tunavyodhani mpaka sasa.
Kukopa si jambo baya. Jambo baya ni kukopa na kupeleka hiyo pesa ya mkopo kwenye mambo yasiyo ya msingi kama kulipia ma-dowans au kuwalipa kina Blair kwa kisingizio cha kazi za ushauri ambazo zingeweza kufanywa na maelfu ya watanzania wenye utaalamu kuliko hao kina Blair.Muulize bosi wa hazina enzi hizo, Dotto James atakupa kila kitu.
Taarifa zipo wazi BOT ni kuzisoma tu na niliwahi kuweka hapaNenda hazina watakupa takwimu zote sahihi.
Ya Mungu mengi..hadi leo sijui Jiwe alifikiria nini kuwa katili vile.Never use this phrase “will never happen”
Kuna watu walidhani Magufuli atakuwa rais wa maisha. Sasa hivi wanagongwa na vitu vizito vichwani maana wenye CCM yao wamerudi kwa speed ya 7G
So, stay put. Anything is possible at any time
Kuongezeka kwa deni kunatokana na riba, mkopo pamoja na kuongezeka kwa thamani ya US Dola thidi ya TSH, toa takwimu zote za hivyo vyote kwa kipindi chote cha Magufuli then uje useme amekopa kiasi ganiMuulize bosi wa hazina enzi hizo, Dotto James atakupa kila kitu.
heeeeeeee!!!!!! kuna mwingine tena twente twente srii zaidi ya kwini of tanzia??Bila shaka ni huyu ninaemfikiria.
2023 - 2025 ( 2yrs ) na ile kumi 2025 - 2035
Upo sahihi, nimejiunga mwaka huubila shaka wewe ni mgeni wa maandishi ya tumia akili.
alitabiri kifo cha mwendazake na kimetokea %100
Naomba jina uzi huo mkuu, nikaupitiealitabiri kifo cha mwendazake na kimetokea %100
Hajawahi tabiri kifo cha mwendazake but anatabirj kuwa tutapata RAISI ambaye hajawahi kugombea uraisi hapo mbeleni!!yaani mama atakaa kwa muda tu yupo atakae chukua ipasavyo tena kwa miaka 12!!!!alitabiri kifo cha mwendazake na kimetokea %100