Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

FDR alikuwa na Akili wewe... acha kabisa kuongelea mambo na watu usiowajua . FDR was very smart.
 
Mungu atupe uhai, Ila kwa safu waliyosuka CCM, sioni uwezekano wa mama kutolewa kabla ya 2021, maana any time anaweza kubadili Mkurungenzi wa TISS, CDF, na IGP akaweka anaotaka yeye, majanga
Kama ni kweli state inataka mtu wao aingie!!anaingia tu !Huwa hawashindwi hao jamaa!!Anaweza teua kumbe anaowateua Ndio sehemu ya mission!!!
 
Yote haya CHANZO ni CORONA. Nani alimshauri mkt wa ufipa ACHANJE? Hatakalia kiti hicho. Miaka miwili tangu importation ya chanjo ya kwanza tunatikiswa tena! By the way furaha ni kuwa tutapata KATIBA mpya 2026 Na mzee Wetu WARIOBA ndo ataizindua.
 
Na huyo FDR wetu yupo bungeni, Si mwanasiasa ila ni verrry vissssionarrrry. Anabadili upepo wa siasa atakavyo. Mbingu zimeamua awe. TUMIA AKILI anatumiwa na mwenye AKILI asiyechunguzika. Dunia yote huweka Watawala awatakao.
 
Aisee halafu strategy wanayotumia Sasa Ni Ile ya kuteua watoto wao waendelee pale wazee waliposhindwa.
Angalia majina ya WATENDAJI wa kata. Majina yanajirudia rudia tu.
Kamati zote za Kata zinaongozwa na wale wale wanaouza ardhi ya vijiji.
Jamaa alikuja akawavurugavuruga na mwisho wakamwita ana ukabila kwa kuleta figure mpya kwenye mfumo!
 
Na huyo FDR wetu yupo bungeni, Si mwanasiasa ila ni verrry vissssionarrrry. Anabadili upepo wa siasa atakavyo. Mbingu zimeamua awe. TUMIA AKILI anatumiwa na mwenye AKILI asiyechunguzika. Dunia yote huweka Watawala awatakao.
Ni nani!!? Magamba matatu anasema ni Arabic by faith au ni B.A.K yule aliekuwa KATIBU mkuu kiongozi!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…