NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Kwenye hiyo kashfa itakayochezwa itawatoa wote wawili halafu jaji mkuu atashikilia kwao muda ndipo Makam Mwenyekiti ccm Zanzibar itaamuliwa asimamie kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025!!atakua Raisi mteule wa jmt kwa miaka miwili!!!kwa huku kwetu lolote linawezekana hata katiba inawekwa kando kwao muda!!!wenye nchi wakiamua lao Nani atabisha??Watafanya mechanism gani ili kumtoa Mpango?
Njia rahisi iliyopo ni kusubiri 2025.
Unasukumwa na hisia kuliko uhalisia. Jaribu kusoma katiba ya nchi upate ufahamu wa mambo unayojadili kwenye hili japo kidogo.Kwenye hiyo kashfa itakayochezwa itawatoa wote wawili halafu jaji mkuu atashikilia kwao muda ndipo Makam Mwenyekiti ccm Zanzibar itaamuliwa asimamie kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi
Possibly my discussion with the kids originated from this kind of thing.Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.
Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Mkuu hiki unachoandika hapa ni maoni yako tu, huna fact yeyote.Najua chawa Wake wapo humu wakimtafuta wa kumvisha kengele!! LAKINI ukweli ni kwamba Mama amekiuka maagizo aliyopewa mwanzoni kabisa Operation ilipositishwa!! Nenda Kasome upya maagizo 18 aliyopewa mwanzoni kabisa!! amekiuka agizo la 11 kuhusu mikopo mikubwa!!Ndugai alitumwa aseme lakini IQ ndogo ya Mama hakutambua Ndugai kapata wapi ujasiri ule!!kaingia mkenge!!kama alivoingia mkenge kwenye gazeti la uhuru kuhusu kugombea kiti hapo 2025!!
Hapa ndo nagundua hujui chechote!Trust me Mpango hapewi nchi!!Lazima awe mwislamu!!akiwekwa Mpango kijasusi haitokaa sawa!!
Hivi katiba si inamruhusu kugombea kipindi kimoja tu, yaani mwaka 2025; hiyo ya 2030-2035 mnaitoa wapi? Unless tubadiri katibaBila shaka ni huyu ninaemfikiria.
2023 - 2025 ( 2yrs ) na ile kumi 2025 - 2035
Watu mumechoka hivi hata Mwaka haujaisha! Kwa kweli hali inatisha! Majani Ni kidogo halafu unawaambia baadhi ya Mbuzi wajipimie badala ya kuwapimia!Naona kama hiyo next stage execution inachelewa. Mpaka 2023? Mbona mbali. I wish hata ingekuwa kesho. Sawa lakini na iwe hivyo kama ulivyonena.
Kwa hiyo hii itakuwa mwendelezo?Bila shaka ashawahi kususa huko nyuma.
Napenda watu kama Ninyi mnaoangalia matukio Kwa Jicho la kipekee.Najua chawa Wake wapo humu wakimtafuta wa kumvisha kengele!! LAKINI ukweli ni kwamba Mama amekiuka maagizo aliyopewa mwanzoni kabisa Operation ilipositishwa!! Nenda Kasome upya maagizo 18 aliyopewa mwanzoni kabisa!! amekiuka agizo la 11 kuhusu mikopo mikubwa!!Ndugai alitumwa aseme lakini IQ ndogo ya Mama hakutambua Ndugai kapata wapi ujasiri ule!!kaingia mkenge!!kama alivoingia mkenge kwenye gazeti la uhuru kuhusu kugombea kiti hapo 2025!!
Hivi madarasa yanajengwa kwa mkopo kweli!!!???kazi ya wananchi tu na halmashauri tu kujipanga ndio iwe turufu ya kisiasa kuelekea 2025 eti unapalilia Njia kwa kujenga madarasa tena kwa mkopo wa mabilioni!!!poor thinking capacity aiseh very poor indeed!!!Tena kwa elimu ambayo imeshaonyesha kuwa ni mfu haizalishi ajira tena zaidi ya kuongeza hasira mitaani!!!Napenda watu kama Ninyi mnaoangalia matukio Kwa Jicho la kipekee.
2023 Tena ?? Mbona sijakuelewaBila shaka ni huyu ninaemfikiria.
2023 - 2025 ( 2yrs ) na ile kumi 2025 - 2035
SureHuwezi Amini ila huyu jamaa namuheshimu sana humu jamvini
Sana tu, akiandika imetoka hiyoHuwa sipuuzagi mada za huyu mwamba hata siku moja.
Tangu kifo cha Magufuli,naamini lolote linawezekana hapa bongo.Magufuli yeye aliondokaje? Tumuombee tu Mpango. Kuna watu walifura alipoteuliwa umakamu wakidai hakijui chama wakaenda hadi kumtusi rais eti ana elimu ya kuungaunga kama ya mzee Mwinyi.
Pengine kama mtu wao waliyemtaka kwenye umakamu angepenya, leo hii samia angekuwa historia.
Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc
Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.
Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.
Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
She's destined kuzingua, and they knew it kabla hajafika hapo. Alivyoanza alijaribu kuwa_prove wrong, lakini inaonekana zilikuwa ni mbio za sakafuni.Mama kawazingua ngoja tuone hatma yake!!
Mpango sidhani kama ni mtu wao!!halafu sifa za muhusika ni humble, intelligent pia kishafanya kitu kama pension za wastaafu,mifumo ya kimtandao na n.k!!ni nani??zaidi ya Mwinyi Junior aliezindua mkonga wakitaifa mitandao?? Zanzibar inang'aa kwa sasa na watu wanamkubali kama Mwinyi??Hapana.
Ukikaunti miaka 12.
Si yeye...
Ni Philip Mpango