Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Icho hapo jisomeeView attachment 2094701

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mkuu, kama nimeelewa vizuri hicho kipengere ni kwamba endapo Magufuli angefariki either mwaka hu au mwakani then mama ilikua ruksa kugombea mara 2, yaani 2025 na 2030 lakini kwakua Magufuli alifariki 2021, miaka 4 kabla ya uchaguzi mkuu means mama anakua kashikiria kwa muda wa miaka zaidi ya 3 and hence hiyo clause 4 hapo ulio inukuu inamuondolea sifa ya yeye kugombea mwaka 2030, anatakiwa kumuachia mwingine!
 
So well planned
 
The wheels are turning...' blood, blood everywhere '.
 

Bila shaka ni huyu ninaemfikiria.
2023 - 2025 ( 2yrs ) na ile kumi 2025 - 2035
Nani huyo?mbona ungesema kea kujiamini?Mpango,Majaliwa?nani?
 
naiwe
 
Raisi akifa mrithi anakuwa chini ya uangalizi wa jeshi for two years akizingua jeshi. Linapindua meza na ni halali sio uhaini. Kwaiyoo mtatumia hii fursa? If yes itafanyika january or february? Madaraka bana
 
Raisi akifa mrithi anakuwa chini ya uangalizi wa jeshi for two years akizingua jeshi. Linapindua meza na ni halali sio uhaini. Kwaiyoo mtatumia hii fursa? If yes itafanyika january or february? Madaraka bana
Halafu wanafanyaje?nchi inakua chini ya jeshi?au kunakuwa na Raisi mteule atakae apishwa na jaji mkuu??
 
Msitutajie January Makamba jamani, wala msitutajie Kikwete aliye haribu kabisa mfumo mzima wa maadili ya umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…