Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara akitokea Mkoani Manyara.
Ambapo mtoto wa Hayati Mzee Edward lowassa Mheshimiwa Fred Lowassa amesema ya kuwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi alimtendea haki Baba yake mwaka 2015 katika mchakato wa kura za maoni .pale alipotoka nje na kusema kuwa kanuni zimekanyagwa .
Amesema kuwa kwa kuwa ni katibu mkuu basi akasimamie kanuni zisikanyagwe Tena.
Naweka kalamu chini na kuishia hapa
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.