Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Anamwambiaje yule wa MsogaAmbapo mtoto wa Hayati Mzee Edward lowassa Mheshimiwa Fred Lowassa amesema ya kuwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi alimtendea haki Baba yake mwaka 2015 katika mchakato wa kura za maoni .pale alipotoka nje na kusema kuwa kanuni zimekanyagwa .