Fred Lowassa ampongeza Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuwa alimtendea haki Baba yake 2015. Amuomba akasimamie kanuni zisikanyagwe tena

Acha ulanzi wako hapa wewe.tangia lini CCM ikamilikiwa na watu binafsi? Unafikiri CCM ni kama vyama dhaifu vya upinzani vilivyopo hapa nchini. CCM ni taasisi imara inayojiendesha kitaasisi na ni mali ya wana CCM.
CCM ina Wenyewe

Kabla ya ziara Dr Nchimbi alienda kuchukua Kibali kwa Mzee Mustafa Songambele 😄😄

JK: Usione vyaelea vyaundwa
 
We jamaa mpaka huwa natamani kukukuona how you look like aisee maana dah kwa kihehe tunasema mlopofu au mgaya luhala kwa lugha nzuri
Huyu pimbi ni mfupi kiasi,ana vigimbi miguuni na matege,kichwa kama kitunguu maji na kitambi cha maparachichi. Yaani ni kituko ndiyo maana hateuliwi anaachwa kuwa mshereheshaji humu kwa vile haonekani.
 
Mungu amtangulie Ndg yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…