Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jun 3, 2024 #41 Lucas Mwashambwa said: Ambapo mtoto wa Hayati Mzee Edward lowassa Mheshimiwa Fred Lowassa amesema ya kuwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi alimtendea haki Baba yake mwaka 2015 katika mchakato wa kura za maoni .pale alipotoka nje na kusema kuwa kanuni zimekanyagwa . Click to expand... Anamwambiaje yule wa Msoga
Lucas Mwashambwa said: Ambapo mtoto wa Hayati Mzee Edward lowassa Mheshimiwa Fred Lowassa amesema ya kuwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi alimtendea haki Baba yake mwaka 2015 katika mchakato wa kura za maoni .pale alipotoka nje na kusema kuwa kanuni zimekanyagwa . Click to expand... Anamwambiaje yule wa Msoga
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jun 3, 2024 #42 Waliimbaji vile? Tuna imaaaani na Lowassa
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Jun 3, 2024 #43 Fred alibukujikwa na machozi na Nchimbi aliyabeba.
Iskari10 New Member Joined May 28, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Jun 3, 2024 #44 Watu wa wapi Wana amani na furaha Lucas Mwashambwa said: Mama amefanikiwa kumfikia kila mtanzania.ndio maana watu wana amani na furaha sana mioyoni mwao Click to expand...
Watu wa wapi Wana amani na furaha Lucas Mwashambwa said: Mama amefanikiwa kumfikia kila mtanzania.ndio maana watu wana amani na furaha sana mioyoni mwao Click to expand...