Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

Kamati kama hizo bora kumpa mwenye pesa tayari, ukimpa kapuku ndio ataharibu kabisa
 
Kwani ndugu ni lini CCM itatoka madarakani??
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho!!!! Hata Nchi ya Romania chini ya kiongozi wake Shaiseskou ( sina hakika na spelling) hakuamini kama atatoka madarakani
Hakuna MTU angeamini kama dola LA kirumi lingeweka anguka.
Usicheze na muda ndugu
 
Rostam, Mo Dewji, Shabiby, Spika, Msukuma, Kigwa the list goes on and on wote hao walikua au bado ni wanasiasa and yet wafanyabiashara wakubwa tu.

Mtu anaweza kuwa mwanasiasa na mfanyabiashara at the same time. Binadamu wana uwezo wa kufanya tasks tofauti kwa wakati mmoja. Acha fikra za kijima za kuamini mwanasiasa bora ni yule maskini au kama walokole wanaoamini mbinguni wataenda maskini tu.

That being said, I know nothing about Vunjabei simtetei wala kumpinga nimewasilisha mtazamo wangu tu.
 
Leo natetea mtu ata hanijui ila ndugu kipi ambacho fred hana hapa? Au kuna maana nyengine

Kikubwa naona ni wivu tu. Na pengine ww bado umejishikiza na kibarua chako afraid to even step out. Smart is a measurement of performance and achievements in nowadays world and not kutusua darasani. Learn to appreciate others achievements na uache choyo

 
Hao wote unajua wanakwepa kodi kwa asilimia ngapi?

Tabia hizi zinaturudisha nyuma sana.

Ngoja uone inzi watakanyokuja nyuma yake
 
chama kinarudi kwa wafanyabiashara waanze kufadhili kila kitu hadi campain,kisha tutegemee TRA wawafate kuwadai kodi? au wao kwa hiari yao ndo watakua wanajipangia kiasi cha kodi wanachostahili kulipa
Bora hao ...kuliko wale wanaopewa nafasi ya vyeo lakini wakiwa huko wanafanya uporaji

Ova
 
Bora CCM irudi kwa wafanyabiashara kuliko kwa akina Bashiru na Polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…