Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

Ni jambo jema sana.
Kwa vile ulikuwa nazo. Wasingekuja Kwa duka sidhani kama ungemaliza.
Anyway wewe unazi, Kuna wengine wamemaliza miaka na hawana kitu unaingia sana sana ni ya kula.
Sasa ulitaraji mwendesha bodaboda aweze kulipa deni Hilo! Wahitimu wengi wako kwenye hii ajira ya kimasikini ya bodaboda! Mengi yanakuja!
 
๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜ญ Najaribu kuvaa viatu vyako lakini havinitoshi duuh ๐Ÿคฏ

๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜ญ Najaribu kuvaa viatu vyako lakini havinitoshi duuh ๐Ÿคฏ
Its okay , i will take it, na binti kajipeleka huko kwa huyo bwege kamwambia sipo home usije,
Funguo ninazo bado niko kazini mpk kesho.
Hapo Nauli nitoe mimi ili aende na mwanae wakamsalimie babaake.
 
Ni show off za kishamba
 
Kwani alitakiwa asemeje,hebu tuelimishe
 
Imeandikwa sawa,ni kumaliza deni (to clear debt)
 
Fred Vunjabei nae hana akili, wala aibu wala adabu yake ndogo sana, miaka yote hiyo asilipe 7 mil na anapata fedha nyingi, hii ni ujinga, tena Bodi ingemshtaki haraka, sbb ana hela ila hakutaka kulipa miaka yote hiyo. Hopeless kabisa huyu
 
Kwa hali hiyo sijui ni trilioni ngapi zinaozea huko mtaani kwa ajili yawatu kukosa ajira. Ila nadhan hata kama mtu anafanya kazi binafsi kama biashara Tin yake yaweza kujulisha then akawa anapunguza hata 40 elfu kwa mwaka.

Ndio maana mambo hayaendi kumbe hakuna mikakati ya kukusanya madeni ya umma.
 
Nadaiwa 12.5m,

Mm hii pesa Huwa naichukukuliaga kama zawadi ya wote wanao bahatika kufikia ELIMU ya juu...
Haina haja ya kudaiana, kudaiwa au KULIPA..
 
kila siku namuomba Mungu anijalie watoto wa kiume tu

Sio kwamba watoto wa kike siwapendi ila malezi yao wakifika kwenye balehe ni tabu tupu
 
Fred Vunjabei nae hana akili, wala aibu wala adabu yake ndogo sana, miaka yote hiyo asilipe 7 mil na anapata fedha nyingi, hii ni ujinga, tena Bodi ingemshtaki haraka, sbb ana hela ila hakutaka kulipa miaka yote hiyo. Hopeless kabisa huyu
Yaani unamlaumu alielipa deni kisa ana fedha mbona hauwalaumu waliosomeshwa Havard huko bure mpaka level ya Professor tena vyuo vya nje na hawadaiwi wao ndio wanatunga sheria ngumu kwa wengine waliweka mpaka riba huyu kasoma Mwenge analala mabibo unamkomalia vip mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ