Aisee kuwa mzazi kazi ngumu Sana Kuna muda watoto wanafanya vitu vya ajabu sanaIts okay , i will take it, na binti kajipeleka huko kwa huyo bwege kamwambia sipo home usije,
Funguo ninazo bado niko kazini mpk kesho.
Hapo Nauli nitoe mimi ili aende na mwanae wakamsalimie babaake.
Walifuta riba ulichokopa ndio utakacholipa....ila utekelezaji ni karibu ni Zero...unachosema ndio kilichopo..Muhimu Bodi ya Mikopo waache tu uhuni wa kubambikia wanufaika wake madeni. Na watambue fika siyo kila mnufaika anaweza kupata muda wa kwenda ofini kwao na kupata hicho cheti kwa wakati.
Maana ukichelewa tu kwenda, wanakutengenezea deni lingine, halafu makato yanaanza upya.
Mkuu nakuunga mkono kwa yote uliyoandika ila sioni tatizo na utumiaji wa neno loan liquidation hapo, navyofahamu Ina maana Pana sana, hata kulipa kwa cash ni Moja ya njia ya loan liquidation!!! Kama kumbukumbu zipo sawaWao walisomeshwa bure, kwanini sisi tulipishwe?! Wakinijibu hili swali nitalipa, otherwise wanipeleke mahakamani, na huko nawashinda haraka sana!
Halafu huyo aliyeandika barua ni taahira flani hivi, hajui hata maana ya ‘Liquidate’.., hawa watu sijui wanaajiriwa kwa kuokotwa kwenye jalala lipi, total rubbish! Yaani kulipa deni ni ku- ‘Liquidate’ .., sasa mataahira kama haya mdio unakuta tunayaamini yanaenda kusaini mamikataba ya kimataifa huko mwishowe yanatuuza bila hata kujua, kumbe shida ni vilaza..., total garbage!
Wao walisomeshwa bure, kwanini sisi tulipishwe?! Wakinijibu hili swali nitalipa, otherwise wanipeleke mahakamani, na huko nawashinda haraka sana!

Na ukute kazi hakupewa na waliomkopesha hawaijui status yake ikoje kwa sasa ila wanataka siku moja awalipe.Jesu daaaah unaishije sasa mkuuu 🤔
Ukute sasa alisomea ugavi au kukata tiketi za ndege 🤣🤣🤣🤣Na ukute kazi hakupewa na waliomkopesha hawaijui status yake ikoje kwa sasa ila wanataka siku moja awalipe.
Yaani kama ulikuwa kwenye fikra zangu mi mwenyewe ni hivyo hivyo nachowazaga mkuuu watoto wa kike ni taabu sana kuwalea 🥵🥵🥵🥵kila siku namuomba Mungu anijalie watoto wa kiume tu
Sio kwamba watoto wa kike siwapendi ila malezi yao wakifika kwenye balehe ni tabu tupu
'Mbwa Koko' wanatisha sana ukiwakuta kwenye mawindo yaoYaani kama ulikuwa kwenye fikra zangu mi mwenyewe ni hivyo hivyo nachowazaga mkuuu watoto wa kike ni taabu sana kuwalea 🥵🥵🥵🥵
Unashangaa 7?mie nililipa 13,nimemaliza kulipa January this year 🙏Mil 7!! ,Bora sikuwahi kukopa
Okay sawa sawa... Basi Fino anafanya MaigizoUkiweza kulipa lote kwa mkupuo mmoja una ruhusiwa mzee
Hivi ku-liquidate maana yake ni kumaliza? Nadhani amefutiwa deni; kama tukiamua kufuata maana ya neno "liquidate" kama ambavyo limetumika hapa kwa maana kuwa deni lake liemuliwa au limeuawaMfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.
Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.
Na tuliojiajiri tunakumbushwa kulipa mkopo tuliopewa na bodi ya mikopo.
Je, una mpango wa kulipa mkopo ukiwa bado hauna ajira?
View attachment 2559799
Unashangaa 7?mie nililipa 13,nimemaliza kulipa January this year [emoji120]
HongeraUnashangaa 7?mie nililipa 13,nimemaliza kulipa January this year [emoji120]
Kwani haya mambo yameanza leoBadala ya kulipa milioni Tano kwa kila goli kwanini Rais asilipie hizo pesa kwa wahitimu ambao wamekopa na hawana kazi.
Hiyo ingeleta maana kidogo.
Au badala ya kuufanya maridhiano na wanasiasa afanye maridhiano na wahitimu kwa kuwafutia madeni yao.
Vijana ajira hawana na madeni bado wanayo Loan Board.
Wao walisomeshwa bure, kwanini sisi tulipishwe?! Wakinijibu hili swali nitalipa, otherwise wanipeleke mahakamani, na huko nawashinda haraka sana!
Halafu huyo aliyeandika barua ni taahira flani hivi, hajui hata maana ya ‘Liquidate’.., hawa watu sijui wanaajiriwa kwa kuokotwa kwenye jalala lipi, total rubbish! Yaani kulipa deni ni ku- ‘Liquidate’ .., sasa mataahira kama haya mdio unakuta tunayaamini yanaenda kusaini mamikataba ya kimataifa huko mwishowe yanatuuza bila hata kujua, kumbe shida ni vilaza..., total garbage!
Shikamoo pain killer. Huu ni ukweli mchacu.Kama serikali haitaniajiri na kujilipa deni Hilo indirect sitalipa Hilo deni mim ,na hakuna kitu watanifanya ,wakitaka waje wachukue vyet vyao ....