Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

Hapo tu, japo nami nililipa kinyonge kabisa 2.6m.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ujinga mwingi sana.
Nimelipa Mil kadhaa kwa binti yangu asome ndo kamaliza nasubiri matokeo kaenda kuzalishwa k****e zake namdai ye na mamaake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Its okay , i will take it, na binti kajipeleka huko kwa huyo bwege kamwambia sipo home usije,
Funguo ninazo bado niko kazini mpk kesho.
Hapo Nauli nitoe mimi ili aende na mwanae wakamsalimie babaake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watakusanyaje na watu hawana ajiraaa??? Lol
 
kila siku namuomba Mungu anijalie watoto wa kiume tu

Sio kwamba watoto wa kike siwapendi ila malezi yao wakifika kwenye balehe ni tabu tupu
Hao wa kiume kwa sasa ni hatari bora wa kike. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stupid ,vijana ni majobless na hawana biashara wala mitaji ,wanafanya kazi za kubeba zege halafu mnawaambia walipe mikopo ,mbwa kabisa ninyi ,hao wazee wenye matumbo makubwa kama mafurushi ya viazi wao walilipa mikopo gani ? Wote mbwa hao wamesoma kwa pesa za walipa kodi enzi za Nyerere na kazi walipewa bwerere na hawakurudisha hata senti moja hadi leo ,kmanina zenu
 
Jaman jaman khaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umemshinda hadi tajiri Fred[emoji16]
Hahahah kumbe nimemzid tajir eeh,hamna mie nilichukua bachelor ya science ndio bei zao ziko juu ukichanganya hela za field, stationary,practical training lazima hela iwe ndefu,enzi za magu ilikuwa nadaiwa 21 M ,maza alipokuja akatoa tozo ndo nikashuka hadi 13m,ambayo nimemalizana nao January mwaka huu.
 
Ndio nani huyu. Jazia nyama ili tuchangie
 
Nakwambia nayeye mchaga vitoto vya migo hivi.
Ila huyo bwege atanipa changu tu mpk sasa najua alipo tu najuzi nimemtengenezea mazingira kajaa ntakutana nae nimpe bili yake tu,akishindwa ndo atanijua mi nani
Unazingua kweli, ungemuozesha mapema akaenda kusoma akiwa n mme wake. Wala usingefika kulalamika huku.
Ilo moja.
Pili, kwan hajagraduate ???
Kama umemsomesha na amemaliz sasa makasiriko ya nini ?
 
Huyo nae aache ushamba,wangapi wamemaliza mkopo huo na hawajatangaza,pia ni aibu kubwa ya mtu kama huyo alie jiajiri na kuwaajiri vijana wa jinsia zote akae muda wote huo hadi mwaka huu ndo amalize mkopo huo.

Aibu kabisa hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…