TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki


Akili Mgando ndani ya karne ya 21
 
Ushauri mzuri. Sasa wote twende Kibosho na Machame tukaoe ili tuwe matajiri.
 
Ila watabaki kua watu wezi..waongo na mafisadi..hata shetani ukoo wake una umoja na mshikamano.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa alijenga nyumba kali sana ya ghorofa kipindi nipo shule ya msingi Mapinduzi, miaka ya 2000 mwanzoni huko. Watu walipata pesa zamani sana aisee.
Aliiba alimzurumu pesa mzee minzi ambaye alikua meneja wa shirecu..walipiga hela fresho akamzurumu mamilioni..mzee minzi alifungwa alikuja kutoka jela hana moja wala mbili..kwenda kwa fresho kumuomba ampe suport ya maisha fresho alimtishia kumuua..mzee minzi alibidi aokoe awe mlokole mana ilibaki kidogo afe kwa stresss za maisha.

Wachaga wengi mali zao niza wizi na dhuluma.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kudhulumu nako ni akili mkuu. Sio kazi rahisi
 
kudhulumu nako ni akili mkuu.
Wizi na ufisadi..ndio mana mnakufa hovyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu wa kike wewe, pambana na maisha usikalie kusema wachaga ni wezi
 
Huyo mzee minzi ni yule wa kule Ngokolo kwa Mwanamakanga au? Shirecu watu walipiga sana pesa aisee huyo dingi labda alikua mzembe tu.
 
kudhulumu nako ni akili mkuu.

Acha wivu wa kike wewe, pambana na maisha usikalie kusema wachaga ni wezi
Kwahiyo unataka tu support wezi...mafisadi..unataka tutengeneze jamii ya aina gani?

Huyo fresho mwenyewe nguvu ya soda wizi na utapeli mtupu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana tu kuna mzee siwezi kumtaja ana hisa nyingi sana bank fulani lakini kiuhalisia hizo hisa zilikua ni za shirecu sasa acha zile za kuchota.
Nahisi nmemjua..ila wajanjwa walipiga sana shirecu..na wengi sana walifungwa na wengi walikufa kwa ngoma mana pesa ilikua nyingi starehe nyingi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…