Hahaha. Ukizoea maisha ya suti na tie na kunyenyekewa, ni ngumu sana kuyaacha, na hiki ndio kinatutesa binadamu wengi tunapoyumba kiuchumi.Mzee Sulla last time napita Shy alikua na ka saccoss pale NSSF naona bado anajitahidi kujifanya boss.
Wewe tahira kila mahali unawaongelea mabaya wachaga. Walikula jich nini?Aliiba alimzurumu pesa mzee minzi ambaye alikua meneja wa shirecu..walipiga hela fresho akamzurumu mamilioni..mzee minzi alifungwa alikuja kutoka jela hana moja wala mbili..kwenda kwa fresho kumuomba ampe suport ya maisha fresho alimtishia kumuua..mzee minzi alibidi aokoe awe mlokole mana ilibaki kidogo afe kwa stresss za maisha.
Wachaga wengi mali zao niza wizi na dhuluma.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Jizi kama mwendazake
Ulishawahi kuifanya? Ama unaropoka tu hapa ukute hata coaster hujawahi miliki. Hii biashara wapo inaowalipa vizuri kabisa.Hao wanabiashara nyingi mabasi ni nyongeza tu,hiyo biashara ni ngumu
Mtu aliyezaliwa mwaka 1964 kujenga ghorofa mwaka 2000 ,ni kupata pesa zamani sana auHuyu jamaa alijenga nyumba kali sana ya ghorofa kipindi nipo shule ya msingi Mapinduzi, miaka ya 2000 mwanzoni huko. Watu walipata pesa zamani sana aisee.
Baba ako amejenga ghorofa akiwa na umri gani au bado anaishi stoo?Mtu aliyezaliwa mwaka 1964 kujenga ghorofa mwaka 2000 ,ni kupata pesa zamani sana au
Duuh..walitisha aseee..[emoji28][emoji28]..naskikia mwenyekiti ngwani alikua akiingia makao makuu anatoka na gunia la pesa...kipindi hichoHawa walikuwa wanakojoa bar halafu anamuambia muhudumu deki halafu anamlipa hapo hapo. Ndio hawa walianzisha mfumo wa kununua bia kreti, wanajaza kwende ndoo ya lita 20 zote halafu wanachota kwa kikombe. Matajiri wengi wa shinyanga, bariadi na mwanza msingi wao mkubwa ulitokana na NCU na SHIRECU.
Na pia jeshini enzi za msuguli yaelezwa imetajirisha sana wengi.
Kabisa na gest shy mpaka mwanza.Kina Ng'wani, wana nyumba karibu kila kata.
Kabisa vilikua na ukwasi wa hali ya juu sana..kumbuka wakina P.Bomani walivyo kuwa na pesa kule NCU.Hadi leo Shirecu imejaa wasukuma. Sasa hivi General Manager wake ni jamaa moja anaitwa Hans ni Mnyakyusa, ila staff wote ni full wasukuma. Ila hivi vyama vilikuwa Giant sana, hadi Nyerere unaambiwa aliviogopa.
Lisemwalo lipo..na ndio ukweli wachaga ni wezi..madhulumati na mafisadi huo ndio ukweli kama utaki kachanjwe chanjo ya korona.Wewe tahira kila mahali unawaongelea mabaya wachaga. Walikula jich nini?
tuendelee kumwomba Mungu na TUOKOKE, hizi ni siku za mwishoMkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam.
Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda cha vifungashio na kiwanda cha kuchakata mafuta ya pamba pamoja na uwanja Mpya wa Kisasa uliopewa jina la ‘Fresho Complex’ uliopo katika eneo la Ugweto kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga,Pia ni kaka mkubwa wa Hillary Shoo mwenye viwanda vya Maji ya HILL,Hill Feeds na Kiwanda cha vifungashio cha Hill...
Na mdogo wao Harold Shoo maarufu HARSHO wa Moshi mwenye kiwanda cha Vifungashio Kwa Sadala Moshi kama HARSHO Packaging maarufu kwa Mifuko ya Super Sokoni.
Mungu Ailaze Mahali Pema Peponi Roho ya Marehemu Fresho. Amina
View attachment 1875353
Pichani: Aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli akikata Utepe kuzindua Kiwanda cha Vifungashio cha FRESHO Shinyanga mwaka 2017 kushoto kwake mwenye Jaketi la Bluu bahari ni Marehemu Fredrick Shoo.
View attachment 1875371
View attachment 1875372
View attachment 1875373
Hapana japo naye anaitwa Fred Shoo pia na si ndugu ila UkooApumzike kwa Amani aisee
Hivi ndie mwenye mabas ya Frester eeeh...
Dah, So sad
Aliyefungua kiwanda chake ni nani kama sio jpm 2017? Unatudanganya kweupe mchana huu..vita gani alipigwa na jpm?AlNdivyo ilivyo mkuu,halafu mwendazake alikuwa akiwapiga vita mno kutokana na majina yao ya ukoo,hakufahamu tu kuwa hawa ndiyo waliokuwa wakimsaidia kutimiza ndoto yake ya tanzania ya viwanda.
Umeenda mbali sana ,
lakini jibu ni kwamba babangu ana lodge tatu za ghorofa,mbili zipo buguruni(moja ya ghorofa tatu inaitwa Mpoloto, nyingine ya ghorofa moja inaitwa Nsipola) ,na ya tatu ipo uyole mbeya nayo inaitwa Nsipola..
Kuna Family zimebarikiwa wee Acha tuuu.
RIP Kaka Frederick Shoo. Daaah Mwaka huu Matajiri wa Uchagani wanaisha. Marangu Coach, Lembeni kwetu, Saba General, na Leo FRESHo. Yatupasa Kuomba Sana.Marehemu kawabeba ndgu zake wote wamekua matajiri,alikua mtu poa sana
Hiyo familia ya Ng'hwani wote mwendo wameumalizaKina Paul na Edward Ng'hwani. Malori yao yaliitwa Rehema za Mungu. Wote wawili wameshaaga dunia. Utajiri kwishney. Watoto wao wana maisha ya kawaida tu.