CHadema mbowe alifanya yale kwa maagizo kutoka ccm ilu kumkata nguvu Sumaye.Ile kuhamia Chadema walimuona msaliti,wakaondoa kinga.Alipoonja joto la jiwe,walianza kumuandama kuhusi umilikaji wa ardhi huko Morogoro.
Hata kule alipokuwa amehamia ikafika muda akataka kugombea kiti cha Mwenyekiti ndipo mwenye chama chake alipomwambia sumu haionjwi.
Duh kweli mbaomfahamu mpi. Weka maelezo na sisi tumfahamu zaidi.Ukiona MTU ana kichwa kidogo au mviringo ujue anakuwa poor Cognitive ability .
Kwahiyo yeye kuwa PM hakikuwa Kazi ngumu .
Ila ukweli unajulikana kuwa jamaa chenga
Ukiwa mstaafu unaamia katika baraza la washauri sasa MTU mwenye Uwezo mdogo atashauri nini!?Duh kweli mbaomfahamu mpi. Weka maelezo na sisi tumfahamu zaidi.
Lakini yuko kwenya baraza la washauri au pia hayumo kwasababu hana cha kushauri?Ukiwa mstaafu unaamia katika baraza la washauri sasa MTU mwenye Uwezo mdogo atashauri nini!?
Hana cha kushauri kawa PM kwakuwa alikuwa analipa fadhilaLakini yuko kwenya baraza la washauri au pia hayumo kwasababu hana cha kushauri?
Kwahiyo na wewe huna akili?Watu wenye akili hawaropokiropoki. Wanaoropokaropoka unajua wako wapi!
Okay, fadhili alikuwa analipwa au analipa?Hana cha kushauri kawa PM kwakuwa alikuwa analipa fadhila
Hata Wasira alihamaia NCCR akarejea CCM.Sumaye alihamia chadema akarejea sisiemu
MKAPA unajua serikali yake ilitegemea mifumo na sio one man show.Okay, fadhili alikuwa analipwa au analipa?
Alikuwa ana mlipa nani hizo fadhila na kwanini?
Hiyo nafasi alipendekezwa na Rais Mkapa mara mbili!
Huyu mtu alikuwa PM kulipa fadhila kwa nani?
Okay, hivyo unasema waziri mkuu hana kazi wala maana yoyote?MKAPA unajua serikali yake ilitegemea mifumo na sio one man show.
Sophia Simba unamwonaga wapi, Sumaye alishaharibu haaminiki tenaHuko ccm mbona kina Sofia Simba, Nchimbi, Adam Kimbisa waliwahi kuimba wana imani na Lowasa lakini walisamehewa yeye alikosea wapi?
Au kwenda CHADEMA ilikuwa kosa?
Na Mbona Lowassa alirudishwa ccm na kafa akiwa mwana ccm?
Okay, hivyo unasema waziri mkuu hana kazi wala maana yoyote?
Hivyo akaamua kumpendekeza mara mbili.
Hajapigwa ban ila aliambiwa akiongea atanyang'anywa staiki zake zote .hii ni baada ya kumwenda cdm aliporudi alipewa masharti hayoFredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa.
Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu?
Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili?
Tangu atoke chadema hasikiki kabisa, au alipigwa ban ya jumla huko ccm?
Pinda anaonekana sana, lakini huyu Sumaye utadhani kahama nchi au yuko kizuizini?
Kimsingi hakuwahi kuelewana na Kikwete, Pinda alikuwa waziri mkuu wa Kikwete kwa miaka 8, Kikwete sahivi ni mshauri mkuu wa mama, Sumaye hawezi kuwa pamoja na hilo kundi. Bila JK Samia hawezi kujiaminiPinda mfumo.
Si walisema ukishakatwa mkia hata ukirudi unakuwa tofauti na wenzio.
UMri umeenda pia , ameamua kujipumzisha nje ya siasa.
Sofia Simba alikuwa mbunge wa kuteuliwa yani viti maalumu hakuwa wa kuoneka popote.Sophia Simba unamwonaga wapi, Sumaye alishaharibu haaminiki tena
Mifumo iliharibika lini sasa?Mifumo ikiwa imara hata ukiwa kilaza unaweza kuwa PM mzuri kwakuwa unakuwa unatembea na mfumo
Wasira alipitoka nncr yeye alikuwa huru kufanya chochote, basi kweli mtandao wananguvu.Hajapigwa ban ila aliambiwa akiongea atanyang'anywa staiki zake zote .hii ni baada ya kumwenda cdm aliporudi alipewa masharti hayo
Pinda alikuwa waziri wa kikwete hivyo ni mwana mtandao naye?Kimsingi hakuwahi kuelewana na Kikwete, Pinda alikuwa waziri mkuu wa Kikwete kwa miaka 8, Kikwete sahivi ni mshauri mkuu wa mama, Sumaye hawezi kuwa pamoja na hilo kundi. Bila JK Samia hawezi kujiamini
Mimi naropoka kama Lissu?Kwahiyo na wewe huna akili?