- Thread starter
- #61
CHadema mbowe alifanya yale kwa maagizo kutoka ccm ilu kumkata nguvu Sumaye.Ile kuhamia Chadema walimuona msaliti,wakaondoa kinga.Alipoonja joto la jiwe,walianza kumuandama kuhusi umilikaji wa ardhi huko Morogoro.
Hata kule alipokuwa amehamia ikafika muda akataka kugombea kiti cha Mwenyekiti ndipo mwenye chama chake alipomwambia sumu haionjwi.
Mbona Wasira alihama na sasa ndiye makamu mwenyekiti wa ccm taifa?
Au huu usaliti una viwango vyake?