Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii.

Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki itasambazwa kupitia redio hiyo

Enzi za mwendazake soon tungeona mabango ya FAKE NEWS
... Bashite muda huu angekuwa anarandaranda kwenye corridors za Clouds na battalion kamili yenye kila aina ya silaha defender kadhaa na magari ya deraya yakisubiri nje! Mungu hakika jina lako ni kuu; nguvu zako hazina mfano; mbingu na dunia zainama kulisujudia jina lako BWANA.
 
Daaah!!!! Yule Jamaa Hakika aliko ni Kiongozi wa Malaika. tumwogope Sana Mtu anayemtaja Mungu Kila Wakati, Maana Ndani yake Mungu anamfichia Makuu ya Kutisha. However, Maandiko Mtakatifu Yanasema Hata Sheltani Anapokuwa Anatenda Ya Kwake, Umwomba Mungu TENA Kwa Kutetemeka.
 
Timu ya wataalam inaendelea kuchunguza , utapewa taarifa
Kiimani shetani ana nguvu sana. Ana uwezo wa kumwingia binadamu ambaye aliumbwa binadamu kabisa, na huyo mtu akageuzwa kuwa shetani, hivyo anakuwa shetani katika umbile la mwanadamu.

Akifanya hivyo ana uwezo wa kuwaangusha wanadamu wengi na kuwafikisha jehanamu maana wengi wataendelea kumwamini na kumwona ni mwanadamu mwenzao, na kuna wakati atawatendea mema, na wengi watayaangalia yale mema machache ili kuwapofusha.

Shetani siyo dubwasha la ajabu, shetani ili kukufikia huchukua umbile lile litakalokuvuta ili uangamie.
 
Mbowe akatae kwenda, wanajioendekezea nini sasa hivi.

Waendelee kudhani kumiliki media, jeshi, bunge vutawasaidia.
 
Huu uzi naona kama watu wanaenda op hivi. Umegeuzwa na kuanza kumzungumzia mwendazake. Mimi nadhani watu wangejikita ktk kumshauri m/kiti akagusie mambo yapi ktk mustakabali wa maendeleo ya taifa letu.
kwa kuanza mimi nimshauri ajaribu kugusia suala la COVID kwa upana wake hasa msimamo wa serikali juu ya namna inavyolishughulikia tatizo hili na kama kuna haja ya kila mtanzania kupata chanjo.
Lakini pia aelezee kwa upana kabisa mapungufu ya katiba iliyopo na umuhimu wa kuifanyia marekebisho kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae.
 
Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar , Freeman Mbowe , amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii

Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki itasambazwa kupitia redio hiyo

View attachment 1844397
Yes. Some hope in sight at least. Tanzania is in a wake up session. But some CCM die-hard will desperately try to resist this wave of change. "Aksante clouds FM. Nitaketi seat ya mbele kusikiliza".
 
Huu uzi naona kama watu wanaenda op hivi. Umegeuzwa na kuanza kumzungumzia mwendazake. Mimi nadhani watu wangejikita ktk kumshauri m/kiti akagusie mambo yapi ktk mustakabali wa maendeleo ya taifa letu.
kwa kuanza mimi nimshauri ajaribu kugusia suala la COVID kwa upana wake hasa msimamo wa serikali juu ya namna inavyolishughulikia tatizo hili na kama kuna haja ya kila mtanzania kupata chanjo.
Lakini pia aelezee kwa upana kabisa mapungufu ya katiba iliyopo na umuhimu wa kuifanyia marekebisho kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae.
Ni wazo jema. Ila watu wengi wamesongwa mno na maumivu waliyoyapata kutoka kwa mwendazake. Ni vigumu kwa binadamu wa kawaida kusahau. Shakespear alisema: "Mema aliyotenda mtu huzikwa nayo mifupani mwake ila mabaya hubaki bila kusahaulika".
 
Back
Top Bottom