Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Kwenye chama chetu chaguzi ziko huru na Haki.

Hata tunapokwenda kwenye katiba mpya na tume huru haimanishi mtu akishinda mfululizo ndio katiba inakataa.
Rudia kusoma tena, nimesema ukomo, sijasema kua sio huru wala haki. Mwenyekiti wetu atatawala mpaka lini? Katiba ya chama ni lazima iseme. Kile sio chama cha baba yake.
 
Back
Top Bottom