Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo halipingikiHata kama wamemualika Mbowe ila sidhani kama hao Clouds wataacha kujipendekeza kwa CCM, wameshajua kule kuna teuzi.
Jamaa alikuwa mshamba sana.Hapana,lilikuwa Zimwi Kama hiliView attachment 1844424
Tunataka Katiba mpya na Tume huru ya uchaguziLkn nyie chadema na ww mleta mada si ndo juzi hapa mmemshukia mama na kumuita dikteta kama jiwe anayima uhuru wa watu na kumuita yy na jiwe hakuna tofauti?
Leo tena mnamsifia na kumnanga jiwe? Hivi mnaelewrka kweli chadema?
Kwa nn iwe sasa na sio 2015-2021(17/3)?Tunataka Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi
Vipi wale waliojiita Kamati ya amani ambao walikuwa wakimuwekea mikono kumuombea walishindwa kumtoa shetani aliyepo ndani yake?Kiimani shetani ana nguvu sana. Ana uwezo wa kumwingia binadamu ambaye aliumbwa binadamu kabisa, na huyo mtu akageuzwa kuwa shetani, hivyo anakuwa shetani katika umbile la mwanadamu. Akifanya hivyo ana uwezo wa kuwaangusha wanadamu wengi na kuwafikisha jehanamu maana wengi wataendelea kumwamini na kumwona ni mwanadamu mwenzao, na kuna wakati atawatendea mema, na wengi watayaangalia yale mema machache ili kuwapofusha.
Shetani siyo dubwasha la ajabu, shetani ili kukufikia huchukua umbile lile litakalokuvuta ili uangamie.
haterage yako ni ya kisimbe haswaHivi Magufuli alikuwa mtu kweli?
Kamati ya amani inaundwa na wanasiasa wanaotumia dini kulinda maslahi ya Serikali bila ya kujali kama Serikali inafanya uovu au mema.Vipi wale waliojiita Kamati ya amani ambao walikuwa wakimuwekea mikono kumuombea walishindwa kumtoa shetani aliyepo ndani yake?
Wewe Jamaa huwaga una busara Sana.Kiimani shetani ana nguvu sana. Ana uwezo wa kumwingia binadamu ambaye aliumbwa binadamu kabisa, na huyo mtu akageuzwa kuwa shetani, hivyo anakuwa shetani katika umbile la mwanadamu.
Akifanya hivyo ana uwezo wa kuwaangusha wanadamu wengi na kuwafikisha jehanamu maana wengi wataendelea kumwamini na kumwona ni mwanadamu mwenzao, na kuna wakati atawatendea mema, na wengi watayaangalia yale mema machache ili kuwapofusha.
Shetani siyo dubwasha la ajabu, shetani ili kukufikia huchukua umbile lile litakalokuvuta ili uangamie.
Huyu mwamba ndio maana ni Tajiri. Hapoi haaniTaarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii.
Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki itasambazwa kupitia redio hiyo
View attachment 1844397
HakikaHuyu mwamba ndio maana ni Tajiri. Hapoi haani
Shetani ni mshawishi mkuu. Anakutazamisha mazuri Kwa lengo la kukutoa kwenye njia. Hashawishi Kwa kutumia mabaya Bali mazuri yapendezayo macho na ufahamu wa mwanadamu!!Kiimani shetani ana nguvu sana. Ana uwezo wa kumwingia binadamu ambaye aliumbwa binadamu kabisa, na huyo mtu akageuzwa kuwa shetani, hivyo anakuwa shetani katika umbile la mwanadamu.
Akifanya hivyo ana uwezo wa kuwaangusha wanadamu wengi na kuwafikisha jehanamu maana wengi wataendelea kumwamini na kumwona ni mwanadamu mwenzao, na kuna wakati atawatendea mema, na wengi watayaangalia yale mema machache ili kuwapofusha.
Shetani siyo dubwasha la ajabu, shetani ili kukufikia huchukua umbile lile litakalokuvuta ili uangamie.