Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Tubadili katiba ya chama chetu, mwenyekiti awe na ukomo wa kutawala. Haiwezekan mwenyekiti anaongoza chama kwa miaka 20 na kidogo. Haiwezekan makamu mwenyekiti anaongoza chama kupitia mtandao wa Twitter na wasap call akati makamanda tupo hapa hapa nchini. Hawa watu wasitufanye ndondocha.
Kwenye chama chetu chaguzi ziko huru na Haki.

Hata tunapokwenda kwenye katiba mpya na tume huru haimanishi mtu akishinda mfululizo ndio katiba inakataa.
 
Hii itadhidi kumuongezea credit Samia, Safi sana
Ni kweli na imani itaongezeka.

Hata magufuli ilikuwa akili mbovu tu na woga. Kwa kazi alizokuwa anafanya anajizolea sifa nyingi sana. Lakiji Yule mwovu shetani akaamua kumtukia. Na hatimaye kama Neno la Bwana linenavyo mwenye dhambi ni wa shetani na hakika atakufa
 
Safi sana kamanda Mbowe. I hope Watanzania wengi watapata Elimu kuhusu muhimu wa katiba mpya kupitia kipindi cha traffic Jam
 
... Bashite muda huu angekuwa anarandaranda kwenye corridors za Clouds na battalion kamili yenye kila aina ya silaha defender kadhaa na magari ya deraya yakisubiri nje! Mungu hakika jina lako ni kuu; nguvu zako hazina mfano; mbingu na dunia zainama kulisujudia jina lako BWANA.
Hahaha dahhhh

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Nimefurahi sana cdm kutokupokea ruzuku, maana sasa zile propaganda mfu za chama kizee, kinachotegemea ruzuku mpaka leo wangesema anakula ruzuku.
Usishangae siku moja kusikia pesa ilikuwa ikiingia
 
Freeman Mbowe aka Mwamba aka Kamanda wa anga. Huyu, Lissu, Heche, Msigwa bila kumsahau Malisa,
Napenda sana kusikiliza interview zao, wanatema madini ya uhakika
... kwa siasa za Tanzania kwa sasa those are the blessed ones! Sauti zao ni level ya unabii; unamsikiliza mtu unaona kabisa anayoongea hayaongei kwa nafsi yake tu bali there is power behind the message!
 
Exactly! Bila kumsahau Kamanda Lema
 
... kwa siasa za Tanzania kwa sasa those are the blessed ones! Sauti zao ni level ya unabii; unamsikiliza mtu unaona kabisa anayoongea hayaongei kwa nafsi yake tu bali there is power behind the message!
It’s true. Siku nikiwa off most of the Time napitia YouTube kucheki interview zao. Wako makini sana. Yaani mtu kama Lissu ukimsikiliza lazima upate kitu kipya cha kulisha ubongo wako.
Sometimes najiuliza yule alietoa amri ya kumshambulia Lissu alikua anawaza nini?!
 
Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii.

Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki itasambazwa kupitia redio hiyo

View attachment 1844397
Soon namuona Mbowe akiwa mahabusu kwa hasira ya Mama.....lazima apunguzwe kasi awe na adabu...
 
Back
Top Bottom