Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Ni wazo jema. Ila watu wengi wamesongwa mno na maumivu waliyoyapata kutoka kwa mwendazake. Ni vigumu kwa binadamu wa kawaida kusahau. Shakespear alisema: "Mema aliyotenda mtu huzikwa nayo mifupani mwake ila mabaya hubaki bila kusahaulika".
Utakumbukwa kwa mabaya yako na siyo mazuri yako
 
Hivi vyadema mnasikiliza na kuangalia clouds media?
Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii.

Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki itasambazwa kupitia redio hiyo

View attachment 1844397
 
Hii itadhidi kumuongezea credit Samia, Safi sana
 
Tubadili katiba ya chama chetu, mwenyekiti awe na ukomo wa kutawala. Haiwezekan mwenyekiti anaongoza chama kwa miaka 20 na kidogo. Haiwezekan makamu mwenyekiti anaongoza chama kupitia mtandao wa Twitter na wasap call akati makamanda tupo hapa hapa nchini. Hawa watu wasitufanye ndondocha.
 
Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii.

Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki itasambazwa kupitia redio hiyo

View attachment 1844397
Hivi hicho kipini kipo clouds au east africa radio?mbona unatuchanganyia mafaili?
 
Nakumbuka Kuna kipindi kinaendelea star tv ais acha kbsa jamaa waliamuakuikatisha matangozo yako gafla bila taarifa nadhani Kuna alipewa airtime katk kipindi Cha the big agenda kuelekea uchaguz mkuu
 
Back
Top Bottom