Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Timu ya wataalam inaendelea kuchunguza , utapewa taarifaHivi Magufuli alikuwa mtu kweli?
... Bashite muda huu angekuwa anarandaranda kwenye corridors za Clouds na battalion kamili yenye kila aina ya silaha defender kadhaa na magari ya deraya yakisubiri nje! Mungu hakika jina lako ni kuu; nguvu zako hazina mfano; mbingu na dunia zainama kulisujudia jina lako BWANA.Enzi za mwendazake soon tungeona mabango ya FAKE NEWS
... kaka kuna case studies nyingi sana zinaendelea kujaribu kutafiti swali lako hilo! Ni swali rahisi ila majibu yake yanahitaji maprofesa nguli wasiokulia majalalani kuja na viable results.Hivi Magufuli alikuwa mtu kweli?
Kiimani shetani ana nguvu sana. Ana uwezo wa kumwingia binadamu ambaye aliumbwa binadamu kabisa, na huyo mtu akageuzwa kuwa shetani, hivyo anakuwa shetani katika umbile la mwanadamu.Timu ya wataalam inaendelea kuchunguza , utapewa taarifa
Wacha weee !!Mbona walikua wanaalikwa hasa 360
Enzi za mwendazake soon tungeona mabango ya FAKE NEWS
Mkuu, kuna wataalam wanasema yule alikuwa ni shetani mwenye maumbile ya mtu.Timu ya wataalam inaendelea kuchunguza , utapewa taarifa
... let them be given benefit of doubt at least for now.Mbowe akatae kwenda, wanajioendekezea nini sasa hivi.
Waendelee kudhani kumiliki media, jeshi, bunge vutawasaidia.
Yes. Some hope in sight at least. Tanzania is in a wake up session. But some CCM die-hard will desperately try to resist this wave of change. "Aksante clouds FM. Nitaketi seat ya mbele kusikiliza".Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar , Freeman Mbowe , amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii
Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki itasambazwa kupitia redio hiyo
View attachment 1844397
Ni wazo jema. Ila watu wengi wamesongwa mno na maumivu waliyoyapata kutoka kwa mwendazake. Ni vigumu kwa binadamu wa kawaida kusahau. Shakespear alisema: "Mema aliyotenda mtu huzikwa nayo mifupani mwake ila mabaya hubaki bila kusahaulika".Huu uzi naona kama watu wanaenda op hivi. Umegeuzwa na kuanza kumzungumzia mwendazake. Mimi nadhani watu wangejikita ktk kumshauri m/kiti akagusie mambo yapi ktk mustakabali wa maendeleo ya taifa letu.
kwa kuanza mimi nimshauri ajaribu kugusia suala la COVID kwa upana wake hasa msimamo wa serikali juu ya namna inavyolishughulikia tatizo hili na kama kuna haja ya kila mtanzania kupata chanjo.
Lakini pia aelezee kwa upana kabisa mapungufu ya katiba iliyopo na umuhimu wa kuifanyia marekebisho kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae.