Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

Wakati Ule Sauti Inakatwa Unapokwa Kisemeo Chombo Kinafungiwa
Mawasiliano Yanadukuliwa πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜‚
 
Ni vizuri vyombo vya habari kuwa na balance ili kuweka mizania sawa
 
Lkn nyie chadema na ww mleta mada si ndo juzi hapa mmemshukia mama na kumuita dikteta kama jiwe anayima uhuru wa watu na kumuita yy na jiwe hakuna tofauti?

Leo tena mnamsifia na kumnanga jiwe? Hivi mnaelewrka kweli chadema?
 
Kwako Wewe Uhuru wa vyombo vya habari ni kualikwa DJ Mbowe studio?

Uhuru wa vyombo vya habari nini?
 
Vipi wale waliojiita Kamati ya amani ambao walikuwa wakimuwekea mikono kumuombea walishindwa kumtoa shetani aliyepo ndani yake?
 
Vipi wale waliojiita Kamati ya amani ambao walikuwa wakimuwekea mikono kumuombea walishindwa kumtoa shetani aliyepo ndani yake?
Kamati ya amani inaundwa na wanasiasa wanaotumia dini kulinda maslahi ya Serikali bila ya kujali kama Serikali inafanya uovu au mema.

Kumwondoa shetani, ni lazima uwe na nguvu thabiti za kiimani na kiroho, ambazo mtu mnafiki hawezi kuwa nazo.

Kamati ya amani imejengwa kwa misingi ya unafiki, na wajumbe wake ni watu wanafiki. Umewahi kuisikia kamati ya amani ikiikemea Serikali kwa uovu wowote ule?
 
Lakini Clouds hawa hawa wakimwalika SABAYA inakuwa wanamsafisha? Mimi nadhani Mbowe angewagomea. Akafanye kipindi na TV AMBAYO NI NEUTRAL hii imekuwa ikionekana inaipendelea au kujipendekeza CCM. Kwa maelezo mengi toka kwa wadau wa CDM.
 
Wewe Jamaa huwaga una busara Sana.
 
Huyu mwamba ndio maana ni Tajiri. Hapoi haani
 
Shetani ni mshawishi mkuu. Anakutazamisha mazuri Kwa lengo la kukutoa kwenye njia. Hashawishi Kwa kutumia mabaya Bali mazuri yapendezayo macho na ufahamu wa mwanadamu!!
 
Wakimuhoji msiyopenda mtaishia kuwatukana kama alivyohojiwa sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…