Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 7, 2021 Thread starter #81 Lambardi said: Soon namuona Mbowe akiwa mahabusu kwa hasira ya Mama.....lazima apunguzwe kasi awe na adabu... Click to expand... tunasubiri
Lambardi said: Soon namuona Mbowe akiwa mahabusu kwa hasira ya Mama.....lazima apunguzwe kasi awe na adabu... Click to expand... tunasubiri
kt the irreplaceable JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 2,375 Reaction score 4,893 Jul 8, 2021 #82 Pythagoras said: Kwenye chama chetu chaguzi ziko huru na Haki. Hata tunapokwenda kwenye katiba mpya na tume huru haimanishi mtu akishinda mfululizo ndio katiba inakataa. Click to expand... Rudia kusoma tena, nimesema ukomo, sijasema kua sio huru wala haki. Mwenyekiti wetu atatawala mpaka lini? Katiba ya chama ni lazima iseme. Kile sio chama cha baba yake.
Pythagoras said: Kwenye chama chetu chaguzi ziko huru na Haki. Hata tunapokwenda kwenye katiba mpya na tume huru haimanishi mtu akishinda mfululizo ndio katiba inakataa. Click to expand... Rudia kusoma tena, nimesema ukomo, sijasema kua sio huru wala haki. Mwenyekiti wetu atatawala mpaka lini? Katiba ya chama ni lazima iseme. Kile sio chama cha baba yake.