LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
hii nchi wajinga ni wengi , bado Kuna watu mpo kwenye hatua ya zinjanthropus , ruzuku sio pesa za ccmu
Sijazungumzia ruzuku, nazungumzia pesa ambazo kila siku lissu anasema viongozi wamechukua kutoka ccm. Akasema pia kiongozi wao mkubwa alienda na wanaccm nyumbani kwake wakiwa na mabegi ya pesa wanataka kumuhonga afunge mdomo
 
Uvunjifu wa amani nchini utasababishwa na viongozi wa serikali ya ccm.

Kwa sababu hawako tayari kuondoka madarakani kwa sanduku la kura hivyo

Wako tayari kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kudhoofisha wananchi na viongozi wa Chadema na upinzani kiujumla.

Kwa kuwaumiza kuwaua na kuwajeruhi na wengine kwenda magerezani kwa kubambikiwa kesi.
 
Hata wewe ukifanyiwa fujo mlalamikaji anakua jamuhuri na siyo wewe, we unakua ni shahidi tu
Kwamba unifanyie fujo halafu sijakupeleka mahakamani jamuhuri irukie tu hiyo fujo?
 
Ndio siasa wanazoweza kufanya fujo na kukamatwa ushaawishi umewashinda
 
Why him?
Hizi movie za kuwafanya waTang ni mazuzu haya buana. Next……
 
Hawajatoweka nae pasipojulikana jumatatu mtamkuta mahakamani kwa kosa la kuingilia mkutano wa ACT mlalamikaji ni jamuhuri mashahidi ni waliomkamata
ACT, ndio mlalamikaji au serikali au ccm au wananchi
 
Magari yameharibiwa kwa kuvunjwa Vioo,Watu waliokuwa katika msafara wa Mbowe wamepigwa vibaya mno,wamepoteza simu na fedha.πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
Vipi mtaalamu, hamuwezi kuwaroga??
 
Wale makomando walikuwa wapi?
 
Ashughulikiwe tuu hakuna namna πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…