Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hata wafuasi wa Jiwe walikenua kama unavyokenua weweπππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wafuasi wa Jiwe walikenua kama unavyokenua weweπππππππ
Swali zuriWale makomando walikuwa wapi?
Umeandika maneno meeeeengi kutoa taarifa ya kukamatwa tu lakini hujasema kisa cha kukamatwa ni kipi?
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa mabomu ya machozi
Magari yameharibiwa kwa kuvunjwa Vioo,Watu waliokuwa katika msafara wa Mbowe wamepigwa vibaya mno,wamepoteza simu na fedha.
Polisi wamempakia Mheshimiwa Mbowe katika Defender na Kutoweka naye pasipo Julikana.
Viongozi wengine waandamizi wamekamatwa na Kupakiwa katika gari tofauti na ile iliyombeba Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Pia soma
- LGE2024 - Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo
View attachment 3158721
Hayo ndo matatizo ya mimba changaNajuta kuwa mtz
Tupia.kapicha tafadhali

We lini ulimpeleka mtu mahakamani bila jamuhuri kushtaki kwa makosa ya jinai?Kwamba unifanyie fujo halafu sijakupeleka mahakamani jamuhuri irukie tu hiyo fujo?
Unaweza kupigana na mtu mwenye silaha?Tumechoka sasa na malalamiko kila kukicha,fight them or join them,baaaaas
Hiyo sio jinai(criminal)Hata wewe ukifanyiwa fujo mlalamikaji anakua jamuhuri na siyo wewe, we unakua ni shahidi tu
Mtaandamana? Au ndo mmeshamtosa tena mheshimiwa?Nchi imefika Patamu sana!
Cc. ErythrocyteAlikubali mwenyewe kuchukua pesa za watu. Arudishe kwanza pesa alizochukua. Huwezi kuchukua pesa alafu ukaendelea kupinga
Hayo magongo na siasa safi za kistaarabu mbona vinapingana?Usipotii Sheria utapigwa tu na kama amekaidi hao mapolisi wahakikishe anatumia magongo maisha yake yaliyobaki tunahitaji siasa safi za kistaarabu
amewaelekeza tu kwamba njooni mnikamate ili utengeneza story na kupoteza wabongolala maboya. hapo chadema wataishia kujadili kukamatwa kwake badala ya kuongelea mambo ya msingi. wengi tumesoma cuba alafu mnafikiri tunadanganyika kirahisi.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa mabomu ya machozi
Magari yameharibiwa kwa kuvunjwa Vioo,Watu waliokuwa katika msafara wa Mbowe wamepigwa vibaya mno,wamepoteza simu na fedha.
Polisi wamempakia Mheshimiwa Mbowe katika Defender na Kutoweka naye pasipo Julikana.
Viongozi wengine waandamizi wamekamatwa na Kupakiwa katika gari tofauti na ile iliyombeba Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Pia soma
- LGE2024 - Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo
======
UPDATES
=======
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi leo tarehe 22 Novemba,2024 katika Pori la Halungu lililopo Wilaya ya Mbozi wamevamia Msafara na kumkamata Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe pamoja na Viongozi mbalimbali aliokuwa ameambatana nao .
Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa ulikuwa umeshafanya Mikutano ya kampeni katika Kata ya Itaka,Kijiji Cha Itewe na Kata ya Halungu Mjini.
Awali mkutano wa kwanza uliokuwa ufanyike katika mji wa Mlowo uliozuiliwa na Polisi pamoja na wenyeji wetu ambao ni Chama Cha ACT Wazalendo kutualika kushiriki kwenye mkutano wa pamoja ila Polisi walikataa na kutawanya wananchi Kwa mabomy ya machozi .
Kabla ya kuwakamata walifuatwa na gari ya Polisi ambayo ilikutana nao njiani na hivyo iligeuza na baada ya mwendo kidogo walikuwa njia imefungwa na gari za polisi ndipo walipofungua milango Kwa nguvu na kuanza kuwashambulia waliokuwa kwenye Magari hayo na kuwakamata Kwa nguvu.
Waliokamatwa ni :
1. Mhe.Freeman Mbowe
2. Mhe. Joseph Mbilinyi - Mwenyekiti Kanda ya Nyassa
3. Mhe. Pascal Haongo- Mbunge wa Mbozi mashariki Mstaafu
4. Mwenyekiti wa Chama Cha ACT Wazalendo Wilaya ya Mbozi
5. B Appolinary Boniface - Mkuu wa Digital platform
6. Paul Joseph - Afisa habari Kanda ya Nyassa
6. Calvin Ndabila - Afisa habari Kanda ya Nyassa
7. Mdude Nyagali - Mwanaharakati na mwanachama wetu
8. Wasaidizi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Bwire,Adamoo na Lingwenya
Jeshi la Polisi wameondoka na viongozi wetu na hajajasema wanawapeleka wapi na mpaka Sasa hatujui wanashikiliwa wapi na Kwa sababu gani.
Chadema Kwa hatua ya Sasa tunasema yafuatayo;
1. Tunalaani kitendo hiki kwani kinaonyesha wazi kuwa ni mkakati wa Polisi kuhujumu kampeni za chama chetu Kwa kushirikiana na CCM
2. Polisi wawaachie mara Moja na bila masharti yoyote ili waendelee na ratiba ya Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
3. Wanachama na Viongozi wetu waendelee na kampeni za kuondoa CCM madarakani .
4. Tunaialika jumuiya ya kimataifa kuja kushuhudia uvunjifu wa Haki za kidemokrasia Kwa vyama vya upinzani nchini katika uchaguzi huu unaoendelea nchini .
Imetolewa Leo Ijumaa tarehe 22 Novemba, 2024
John Mrema - Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje
Huwa huna malalamiko mengine karunguyeye wewe!?Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inatafuna

Ccm washaingia uogaNchi imefika Patamu sana!