Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huna ushahidi wowote, unajiropokea tu kwa kufuata mkumbo, bila shaka wewe ni MjingaUshauri wangu rudisheni pesa mlizochukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna ushahidi wowote, unajiropokea tu kwa kufuata mkumbo, bila shaka wewe ni MjingaUshauri wangu rudisheni pesa mlizochukua
Kuna mda hua najiuliza nyie wenzangu mnaishi Dunia hii hii au? 🤔Usipotii Sheria utapigwa tu na kama amekaidi hao mapolisi wahakikishe anatumia magongo maisha yake yaliyobaki tunahitaji siasa safi za kistaarabu
Lissu ndio amesema viongozi wa chadema walienda kwake wakiwa na kiongozi wa ccm wamebeba mabegi ya pesa wanataka wamuhonge. Huyo ni makamu mwenyekiti kasema sio mimiHuna ushahidi wowote, unajiropokea tu kwa kufuata mkumbo, bila shaka wewe ni Mjinga
Watandikwe kweli kweliPamoja na Mwenyekiti Freeman Mbowe wengine hawa hapa
View attachment 3158782
Shukrani kuu imwendee aliyerekodi tukio hili la kinyama lililokuwa na nia ovu, inaelezwa kwamba bila video kuvujishwa na msamaria mwema watuhumiwa hawa wangeweza kupotea milele
View attachment 3158786
Bila Polisi hakuna CCM
Huna akiliLissu ndio amesema viongozi wa chadema walienda kwake wakiwa na kiongozi wa ccm wamebeba mabegi ya pesa wanataka wamuhonge. Huyo ni makamu mwenyekiti kasema sio mimi
Sawa wenye akili mlioenda na mabegi ya pesa kumuhonga lissuHuna akili
MAGUFULI ndie alianzisha upuuzi huu kwakua ni tabia yake hata kabala ya kuwa rais alikua akiteka washindani wake katika Ubunge , tulimjuaLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli inatafuna
What goes around comes around, endelea kuchekelea ujinga ukidhani uko salamaWatandikwe kweli kweli
Atavuna anachopandaMagufuli alikuwa na mabaya yake ila huyu kazidi.
Anatumia nguvu kupita kiasi
Rudisheni kwanza pesaMagufuli alikuwa na mabaya yake ila huyu kazidi.
Anatumia nguvu kupita kiasi
Kesho ni siku ya sabato,Basi sawa hata kama ameruhusiwa acha alale ndani leo tu kesho ataachiwa
Huyo ndiye muasisi wa yote hayoLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli inatafuna
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa mabomu ya machozi
Magari yameharibiwa kwa kuvunjwa Vioo,Watu waliokuwa katika msafara wa Mbowe wamepigwa vibaya mno,wamepoteza simu na fedha.
Polisi wamempakia Mheshimiwa Mbowe katika Defender na Kutoweka naye pasipo Julikana.
Viongozi wengine waandamizi wamekamatwa na Kupakiwa katika gari tofauti na ile iliyombeba Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Pia soma
- LGE2024 - Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo
======
UPDATES
=======
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi leo tarehe 22 Novemba,2024 katika Pori la Halungu lililopo Wilaya ya Mbozi wamevamia Msafara na kumkamata Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe pamoja na Viongozi mbalimbali aliokuwa ameambatana nao .
Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa ulikuwa umeshafanya Mikutano ya kampeni katika Kata ya Itaka,Kijiji Cha Itewe na Kata ya Halungu Mjini.
Awali mkutano wa kwanza uliokuwa ufanyike katika mji wa Mlowo uliozuiliwa na Polisi pamoja na wenyeji wetu ambao ni Chama Cha ACT Wazalendo kutualika kushiriki kwenye mkutano wa pamoja ila Polisi walikataa na kutawanya wananchi Kwa mabomy ya machozi .
Kabla ya kuwakamata walifuatwa na gari ya Polisi ambayo ilikutana nao njiani na hivyo iligeuza na baada ya mwendo kidogo walikuwa njia imefungwa na gari za polisi ndipo walipofungua milango Kwa nguvu na kuanza kuwashambulia waliokuwa kwenye Magari hayo na kuwakamata Kwa nguvu.
Waliokamatwa ni :
1. Mhe.Freeman Mbowe
2. Mhe. Joseph Mbilinyi - Mwenyekiti Kanda ya Nyassa
3. Mhe. Pascal Haongo- Mbunge wa Mbozi mashariki Mstaafu
4. Mwenyekiti wa Chama Cha ACT Wazalendo Wilaya ya Mbozi
5. B Appolinary Boniface - Mkuu wa Digital platform
6. Paul Joseph - Afisa habari Kanda ya Nyassa
6. Calvin Ndabila - Afisa habari Kanda ya Nyassa
7. Mdude Nyagali - Mwanaharakati na mwanachama wetu
8. Wasaidizi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Bwire,Adamoo na Lingwenya
Jeshi la Polisi wameondoka na viongozi wetu na hajajasema wanawapeleka wapi na mpaka Sasa hatujui wanashikiliwa wapi na Kwa sababu gani.
Chadema Kwa hatua ya Sasa tunasema yafuatayo;
1. Tunalaani kitendo hiki kwani kinaonyesha wazi kuwa ni mkakati wa Polisi kuhujumu kampeni za chama chetu Kwa kushirikiana na CCM
2. Polisi wawaachie mara Moja na bila masharti yoyote ili waendelee na ratiba ya Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
3. Wanachama na Viongozi wetu waendelee na kampeni za kuondoa CCM madarakani .
4. Tunaialika jumuiya ya kimataifa kuja kushuhudia uvunjifu wa Haki za kidemokrasia Kwa vyama vya upinzani nchini katika uchaguzi huu unaoendelea nchini .
Imetolewa Leo Ijumaa tarehe 22 Novemba, 2024
John Mrema - Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje
Turuhusu tu mkuu alale ndani leo hajalala ndani siku nyingiHapo faida yake nini
Jinsia ile USA Marufuku kupewa nchiSamia nchi imemshinda ajiuzulu haraka sana
..sasa mbowe si mtu wa Ccm mnadai? kwanini mnamdhalilisha? Na jambo lenyewe si liliisha bila vurugu yoyote?Ushauri wangu rudisheni pesa mlizochukua
Tupo chini ya miguu yenu turuhusuni mbowe alale lockup leo tu basiKesho ni siku ya sabato,