Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwa imani yetu sisi ukatili na unyama ni ibada.Watandikwe kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa imani yetu sisi ukatili na unyama ni ibada.Watandikwe kweli kweli
Wanafanya siasa za hovyo zilizopitwa na wakati. Watakuja kujikuta hawakubaliki kwa umma, ila kwa machawa wao tuhaya waliyafanya makaburu huko south africa , ccmu wanàyarudia karne ya 21
Ni upuuzi tupu.Pamoja na Mwenyekiti Freeman Mbowe wengine hawa hapa
View attachment 3158782
Shukrani kuu imwendee aliyerekodi tukio hili la kinyama lililokuwa na nia ovu, inaelezwa kwamba bila video kuvujishwa na msamaria mwema watuhumiwa hawa wangeweza kupotea milele
View attachment 3158786
Bila Polisi hakuna CCM
Kwamba mamako ndio mtoa rushwaRudisheni kwanza pesa
Ushauri wako umepokelewaNi upuuzi tupu.
Chadema tambueni kwamba mpo vitani, kulalamika tu kwa maneno matupu haitwasaidia kitu. Chukueni hatua madhubuti ili kukomesha udhalimu huo mnaofanyiwa, tumechoka kusikia malalamiko yenu ya maneno matupu miaka yote.
Ikiwa Kama Ccm inatumia majeshi yake ya Polisi na Tiss, Je, na nyinyi nao mnashindwa Nini kutumia ya kwenu???
"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
Dr. Martin Luther King Jr.
Mbona yuko sahihi!?Utakuwa mwehu kama hizo ndo unamaanisha za kistaarabu! Mnfundishwaje siku hizi vijana?
Walikua wanafanya nini msituni?Pamoja na Mwenyekiti Freeman Mbowe wengine hawa hapa
View attachment 3158782
Shukrani kuu imwendee aliyerekodi tukio hili la kinyama lililokuwa na nia ovu, inaelezwa kwamba bila video kuvujishwa na msamaria mwema watuhumiwa hawa wangeweza kupotea milele
View attachment 3158786
Bila Polisi hakuna CCM
Mbeleko ya polisi kwa ccm haina mwisho mwemaPamoja na Mwenyekiti Freeman Mbowe wengine hawa hapa
View attachment 3158782
Shukrani kuu imwendee aliyerekodi tukio hili la kinyama lililokuwa na nia ovu, inaelezwa kwamba bila video kuvujishwa na msamaria mwema watuhumiwa hawa wangeweza kupotea milele
View attachment 3158786
Bila Polisi hakuna CCM
Mkuu , mm n mwananchi wa kawaida TU,Tupo chini ya miguu yenu turuhusuni mbowe alale lockup leo tu basi
Barabara imepita katikati ya msitu, Polisi walijificha humoWalikua wanafanya nini msituni?
Huyo ligwenya na adamoo ndo wale makomando?
Hiyo ni warrant ya kutekwa?Lissu ndio amesema viongozi wa chadema walienda kwake wakiwa na kiongozi wa ccm wamebeba mabegi ya pesa wanataka wamuhonge. Huyo ni makamu mwenyekiti kasema sio mimi
Washughulikiwe sinaga huruma na wanasiasaKwa imani yetu sisi ukatili na unyama ni ibada.
Washughulikiwe sinaga huruma na wanasiasa,hata nyie mkishika Dola ndivyo mtawafanya so wawashughulikie kabla hayajawakuta wao 😂😂What goes around comes around, endelea kuchekelea ujinga ukidhani uko salama
Shetani hana rafiki
Hakuna marefu yasiyo na ncha
Mazingira yako wapi?Kutokana na Ushahidi wa Mazingira, inaonekana kama kuna chembechembe za Ukweli kuhusu Hoja hii.
Ifanyiwe kazi.
Nahisi hujanijibu mkuu!Barabara imepita katikati ya msitu, Polisi walijificha humo