Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Abduli katapeliwa na Wenje...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abduli katapeliwa na Wenje...
mbogamboga wamepigwa chenga za mwiliKawaingiza choo cha watoto mbogamboga Kala pesa zao
Sijaelewa bado, Chadema ni chama cha Wachaga au tubadili topic?
Yaani huyu jamaa nimemheshimu sana, hakuangalia ukabila.
Leo itakuwa ni machozi ya huzuni 😅Lucas Mwashambwa anabubujikwa machozi ya furaha kama kamwagiwa pilipili 😁😁😁😁
Na yule Mwosha Mbwa?