Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

Dah! Uyu jamaa amekomaa mbowe apewe shavu. Hii ni nyuzi kama ya3 hivi.
Kwanini ukomae mzee achanganye gunzi wakati betri zipo
 
Kaka hatusemi gunzi kutoka hewani.
Mkuu wa kaya wakati wa uchaguzi alitufundisha kuwa asichanganyiwe gunzi
Tunafuata kauli za m/kiti wetu
Mbowe siyo gunzi kama alivyo Mbatia, Zitto Kabwe na maalim Seif.

Magunzi ni hao akina Tundu Lisu ambao hawajawahi kuwa na kadi ya CCM!
 
Hahahaaaa........ Mbowe ni CCM tunamrejesha nyumbani!
 
Kakojoe ulale hata kama ni mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…