Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

Dah! Uyu jamaa amekomaa mbowe apewe shavu. Hii ni nyuzi kama ya3 hivi.
Kwanini ukomae mzee achanganye gunzi wakati betri zipo
 
Kaka hatusemi gunzi kutoka hewani.
Mkuu wa kaya wakati wa uchaguzi alitufundisha kuwa asichanganyiwe gunzi
Tunafuata kauli za m/kiti wetu
Mbowe siyo gunzi kama alivyo Mbatia, Zitto Kabwe na maalim Seif.

Magunzi ni hao akina Tundu Lisu ambao hawajawahi kuwa na kadi ya CCM!
 
Leo ghafla maCCM yanasema Mbowe anafaa kua Waziri wa Viwanda kwenye serikali hiyo hiyo ya maCCM!

Duh

Kweli hii dunia ina wanafiki

Mbowe akija na Chadema tunamtoa aje awe CCM huko

Maccm zijui yanawashwa na guilt ya kuiba kura na kuua watu?

Nashindwa kuwaelewa kabisa!

Nini kinawauma hivi aiseee?Majambazi na mauaji hayanaga amani
Hahahaaaa........ Mbowe ni CCM tunamrejesha nyumbani!
 
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana mh Freeman Mbowe.

Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana"

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Kakojoe ulale hata kama ni mchana.
 
Back
Top Bottom