"Magunzi na betri radio haisemi na wala tochi haiwaki"Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana"
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Nakuelewa sana mkuu kwamba mmepewa vipeperushi kwa ajili ya kupigia upatu jambo hili kumtamanisha Mh mbowe akubali ili azma yenu ya kuua upinzani wa kweli nchi muwe mmelimalizaItoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana"
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Mngeshaweka zamani.Who cares?
Arudi tuchague Chairman wetu mwingine...
Sisi ni chama cha upinzani kama taasisi,Mbowe akitoka au akifa tunaweka wengine
Who cares?
Upinzani gani uliobaki bwashee?Nakuelewa sana mkuu kwamba mmepewa vipeperushi kwa ajili ya kupigia upatu jambo hili kumtamanisha Mh mbowe akubali ili azma yenu ya kuua upinzani wa kweli nchi muwe mmelimaliza
Kwani kina esta wamekuwa tena wapinzani ndani ya chama chenu mlichowaingiza? ππUpinzani gani uliobaki bwashee?
Huu wa akina Esther Bulaya bungeni!!
Ni wabunge wa Chadema kwa mujibu wa katiba na sheria!Kwani kina esta wamekuwa tena wapinzani ndani ya chama chenu mlichowaingiza? ππ
Ngoja nikuache tu sababu unaweza kuta najibizana na NdugaiNi wabunge wa Chadema kwa mujibu wa katiba na sheria!
Hawajatimuliwa bwashee? Unalazimisha?Ni wabunge wa Chadema kwa mujibu wa katiba na sheria!
Wangetimuliwa wasingekuwepo bungeni bwashee!Hawajatimuliwa bwashee? Unalazimisha?
Hahahaaaa....... Chadema mnamkubali sana Ndugai!Ngoja nikuache tu sababu unaweza kuta najibizana na Ndugai
Huu ni uchokozi π€ΈHahahaaaa....... Chadema mnamkubali sana Ndugai!
Wamehudhuria kikao gani mangi?Hahahaaaa....... Chadema mnamkubali sana Ndugai!
Hapa unamzungumzia mtei au mbowe? ndio namjua ni baba mkwe wa mbowe, aliwahi kuwa gavana, muasisi wa chadema na ndiyo aliemkabidhi mkwe wake mbowe chadema, kuna zaidi ya hapo?Unamjua " vizuri " mzee Mtei lakini?