Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana mh Freeman Mbowe.

Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana"

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
"Magunzi na betri radio haisemi na wala tochi haiwaki"
 
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana mh Freeman Mbowe.

Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana"

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Nakuelewa sana mkuu kwamba mmepewa vipeperushi kwa ajili ya kupigia upatu jambo hili kumtamanisha Mh mbowe akubali ili azma yenu ya kuua upinzani wa kweli nchi muwe mmelimaliza
 
Who cares?

Arudi tuchague Chairman wetu mwingine...

Sisi ni chama cha upinzani kama taasisi,Mbowe akitoka au akifa tunaweka wengine

Who cares?
Mngeshaweka zamani.

Akitoka Mbowe anaingia CCM mwingine Halima Mdee au mchungaji Msigwa.

CCM ni chama kikubwa meku!
 
Nakuelewa sana mkuu kwamba mmepewa vipeperushi kwa ajili ya kupigia upatu jambo hili kumtamanisha Mh mbowe akubali ili azma yenu ya kuua upinzani wa kweli nchi muwe mmelimaliza
Upinzani gani uliobaki bwashee?

Huu wa akina Esther Bulaya bungeni!!
 
Hii nafasi ningepewa Mimi ningeweza sana hata jimboni kwangu wanasema hivo!
 
Back
Top Bottom