Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

H
Ww bwana kwa taarifa hii hapana.tumeikataa
Hata ukiikataa lakini lazima nchi yetu iendeleee kujengwa , kero za wananchi lazima ziendelee kutatuliwa kila kukicha na kila Senti ipatikanayo lazima ipelekwe katika kugusa maisha ya watu kwa kuwapunguzia mzigo wa kero
 
Miaka yote madarasa yanajengwa tena kwa kodi leo mkopo wa Corona ndo useme amefanya kazi

Mbowe yupo sahihi 100%
 
H
Haiwezekana mamillion ya watanzania wakawa wajinga katika uamuzi wao mwema wa kuamua kumuunga mkono mh Rais kuweza kugharamia baadhi ya miradi yetu kwa fedha zetu wenyewe

sisi tumeambua wajibu wetu katika ujenzi wa Taifa letu, Tumetambua njia ya kweli katika kuyafikia maendeleo ya kweli, Tunaifuata njia waliyopiga wenzetu kuyafikia maendeleo yakweli, Tumetambua kuwa Kamwe hatutaweza Kuendelea kwa kukaa na kusubiri wenzetu walipe Kodi halafu sisi tuneemeeke tu bila jashi,hiyo haiwezekani ndio maana watanzania Tumeamua kumuunga mkono mh Rais wetu
 
Miaka yote madarasa yanajengwa tena kwa kodi leo mkopo wa Corona ndo useme amefanya kazi

Mbowe yupo sahihi 100%
Wewe utakuwa msahaulifu Sana, kwani hukuwa unaona namna wananchi wanavyo kimbizana na migambo, lakini kwa Sasa mh Rais wetu mpendwa ametupitisha katika njia iliyo nzuri, maana kipindi kile Kuna viongozi walikuwa wanatumia vibaya pesa hizo na kuweka kiwango kikubwa Sana asichoweza kulimudu mwananchi mnyonge
 
Taja vitano ambavyo ameanza navyo maana vya urithi vilimshinda
Lazima ujuwe kuwa mh Rais wetu mpendwa anaendelea na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo pia akishiriki kuinadi nchi nzima uchaguzi mkuu uliiopita
 
Kwani unafikiri tulishakuwa wajanja lini,ujanja wetu ufisadi,uzembe na uvivu basii🤔
Kwa Sasa hayo yamekomeshwa katika uongozi wake mh Rais wetu, utapona na kusalimika endapo tu utakuwa hujabainika lakini ukibainika utasakwa popote ulipo
 
Ulikuwa umekesha na ulanzi au kupanga mazingira ya kukamua maziwa yaingie kwenye kikombe chako? Watanzania wote wanalia unga haununuliki wewe unapambana na mavx. Wewe ni Laana kweli kweli.

Nimesoma
mistari miwili nikakwachia ujinga wako soma mwenyewe.
 
Kodi zetu na pesa zetu zipo katika mikono salama ya mh Rais wetu Ndio maana unakuwa unaona utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kila Kona ya nchi yetu
 
Kodi zetu na pesa zetu zipo katika mikono salama ya mh Rais wetu Ndio maana unakuwa unaona utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kila Kona ya nchi yet
 
Wengine darasani tulikuwa tunasindikiza hasa mimi yaani sijakuelewa ngoja ninywe chai nirudi kukusoma

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mjinga anapokataa kuitwa mjinga kwa kuutetea ujinga anakua mpumbavu pro max
 
Miundominu inaongezwa,kwa kuongezeka idadi ya watu,miaka 30,60 iliyopita idadi ya watu ilikuwa ndogo,utaongeza vipi madarasa,zahanati nk,ikiwa hakuna watumiaji.Kila panapoongezeka idadi ya watu,na miundombinu inaongezeka.
 
Kwani lini mmekuwa na akili tena kuwa wajinga Bado katumia lugha laini mno nyie ni wapumbavu tu.

Wazee wa kupiga kelele mitandaoni bila kuchukua hatua.

Hii ni nchi ya mbumbumbu me naweza waita hivyo.

Huo ndio ukweli mchungu
Zambia miaka ya nyuma Bei ya mkate ilipanda watu wakaandamana, sisi tunanyang'anywa pesa zetu tunakimbilia nitandaoni kuchat na kulalamika, kwa mara ya Kwanza nakuwa upande wa Mbowe ahsante kutuheshimu na kutuita jina ambalo linatamkika.

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza kweli tupu,ndio maana hakuna wa kukujibu kwa hoja,au kupinga kama hayo hayajafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…