Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?


Kwa kutuona je lakini mkuu?

Walamba asali wanapoufurahia "ujinga" wetu
 
Kwani uongo mnapewa T - shirt na kofia za ccm ili muipigie kura, mna akili kweli..? alafu miaka mitano inawakamua mpaka mnashindwa kuhema alafu mnalalamika .

Ngoja siku akili zikiwakaa vizuri, wenyewe mnaenda kwenye sanduku la kura na kufanya mageuzi makubwa hapa nchini.
 

Hivi wewe kwa uliyoandika unajiona sio jinga?
 
Kwani lini mmekuwa na akili tena kuwa wajinga Bado katumia lugha laini mno nyie ni wapumbavu tu.

Wazee wa kupiga kelele mitandaoni bila kuchukua hatua.

Hii ni nchi ya mbumbumbu me naweza waita hivyo.

Huo ndio ukweli mchungu
Mpumbàfu na mjinga lazima aitwe kwa majina yake.
 
Mtoa post ni mjinga kiwango Cha backteria.

Hayo madarasa watasoma akina nani Kama wanafunzi watashindwa kuhudhuria masomo wazazi wakishinwa kumudu maisha? Muombe Mbowe radhi.

Kama unaweza kufikiria miundo mbinu inayojengwa kuanzia mkoloni na haiishi leo want kesho wakati chakula kimepanda bei Mara tatu na bado kinaendelea kupaa bei juu.

Tulifikiria ungetuambia serikali ya Tanzania ina mapesa ya kutosha kuagiza maedikopta ya kumwaga maji angani watu walime chakula kipatikane unatuandikia utopolo.

Huu Moto wa jua ukiendelea nawaambia tozo zitakufa na maviex yatapigwa mnada na kitakachofuata ni kuendesha nchi kwa rimoti. Kwani viwanda ilikuwa je?

Watanzani amkeni acheni kulala usngizi wa pono. Vijana tumieni nguvu zenu na elimu yenu kunusuru taifa la kesho.

Ila siku hizi vijana mawazo yao yanaishia kiunoni na kutafuta idadi ya watoto baadae mnaanza kulalamika. Ni shida tupu.

Hatua ni mapema.
 
Kodi zetu na pesa zetu zipo katika mikono salama ya mh Rais wetu Ndio maana unakuwa unaona utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kila Kona ya nchi yetu
Jumla ya posts mpaka sasa...150
Jumla waliokubaliana naye ........4 sawa na asilimia 0.02%
Jumla ya wanaompa za uso...146 sawa na asilimia 97.8%

Waliomuunga mkono Lucas mwashambwa mpaka sasa ni hawa;
  1. Lucas mwashambwa
  2. Kikwajuni One
  3. Osale 1
  4. Pascal Mayalla
Ushauri kwa Lucas mwashambwa ...kwa ujinga wao unazidi kumharibia huyo unayedhani unamsifia!

Kwa kuwa ulidai umeandika kwa niaba ya Watanzania na hivyo kama una chembe ya akili, ficha upumbavu wako na tafadhali, chutama.
 
Mkuu Mag3, naamini umeisha wahi kusoma kitabu cha "An Enemy of the People kilichoandikwa na Henrik Ibsen, kuna mstari mule ndani usemao, "The strongest man on the world is he who stands alone!", hivyo hata kama tunaomuunga mkono ni watu wanne tuu na wanaompinga ni 150, hakuna uthibitisho wowote hawa 150 ndio wako right!, tumia mfano wa Sodoma na Gomora!.
P.
 
Muhimu ni quality sio quantity.Muhimu ni ubora sio wingi.
 
Kwa Ujinga ni tusi?
Ukose akili wewe mwenyewe halafu ujifiche kwenye kimvuli cha kutukanwa?
Ungejua kuwa mjinga ni tusi si ungeamua kuachana nao?
Acheni zene. Halafu nyie ndio mnarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wanaowatukana na kuwafanya nyie wapumbavu (siyo wajinga) ni hao wanawatoza kodi mara mbili mbili ili waishi kifahari na nyie muishi kama vibwengo. Na kwa akili kama yako hii wewe siyo mjinga bali ni mpumbavu kabisaaa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
....kwa kuwa amesema sisi watanzania tunaolipa kodi ni wajinga
Hakuna popote walipa kodi halali wameitwa wajinga
Na sote tunatambua kuwa hiyo kodi hata yeye anakatwa
Ndiyo anakatwa kodi halali
Ina maana hata yeye ni mjinga.
Kukatwa kodi halali si ujinga ni wajibu wa mwananchi kulipa
Ni fedheha sana; alikosa lugha ya kutumia kufikisha ujumbe
Anachoita ujinga ni kuridhia makato yasiyo halali ili viongozi walafi wazidi kuneemeka. Serikali inawaibia wananchi ili viongozi hao waendeshe V8 ambazo gharama zake si chini ya 250,000,000 kila moja.
 
tunajuwa yeye Mbowe anashinda Dubai
kWANI Dubai kuna nini?? si km hapo Manzese tuuu!! ......tena bora Manzese utoana warembo weusi wakikupa Mambooo!! yaani kule nishida tu! tatizo lako unaona dubai km paradiso kwa vile hujawai fika!
 
Mbona mkapa alisema wapinzani marofa na wapumbavu hukutoa kasoro au hukukasirishw????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…