Freeman Mbowe apendekezwa mwanasiasa bora wa Upinzani

Bila shaka Mbowe ni mwanasiasa bora na mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na siyo mpayukaji. Mimi binafsi napenda kutazama na kusikiliza speech zake kama Mwl Nyerere vile.
 
Tatizo lako unasoma katioba ya chama kupitia makalio ndio maana huwezi ona tatizo
 
sifa kuu za mbowe ni tatu..


1) ana miliki danguro maeneo ya posta

2) ana tumbua hela za chama na kwenda kustarehe dubai na kimada/hawara

3) ana makengeza

..... Hujielewi hata kidogo.! Eti anatumbua hela za chama. Hahahaha. Ungejua mbowe ana hela kuliko hata chama
 
Mbowe mwanasiasa bora wa upinzani, kalifanyia nini taifa? Kafanya jipya gani ktk jimbo lake.?
Ukisema lissu tunaona alivo msaada bungeni, kafulila kwa hoja zenye mashiko, zitto kwa maslahi ya taifa
Sasa huyu mbowe kwa lipi??

Utajifikiria ukilala utapata majibu yako.
 
Mbowe ni mroho ws madaraka ukiutamani uenyekiti anakusukia zengwe ufukuzwe au anaku Chacha Wangwe.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Mbona mefukuzwa na huko mlipokwenda wewe kiberenge wa siasa?
 
.... Ccm wakimuona mbowf wanajikojolea kwa woga.
 
tangu nimekua mwanachama wa cdm miaka sita iliyopita kwakweli nimekaa na kumjua huyu kamanda vilivyo! hakuna ubishi anastahili kupewa nishani zote.
 
sijawahi kumuona mbowe akimsema lowassa hadharani
 
Asingekuwa Mbowe kumlinda zitto,angalikuwa amefukuzwa 2009
 
Lipo wapi lile kundi la masalia na id yao ya TUNTEMEKE?
 
hongera yake. ivi mtikila yuko wapi? niliwah kuanzisha uzi humu MODS wakautoa cjui kwa nn?
 
akili za magamba ni upuuzi,mbowe utamfananisha na jk aliepewa u dr.wa makaratasi na uprof. wa sangoma
 
Mbowe ni mroho ws madaraka ukiutamani uenyekiti anakusukia zengwe ufukuzwe au anaku Chacha Wangwe.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

kichwani umejaza mavi tu...
 
Bila shaka Mbowe ni mwanasiasa bora na mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na siyo mpayukaji. Mimi binafsi napenda kutazama na kusililiza speech zake kama Mwl Nyerere vile.

you nailed it bro!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…