Freeman Mbowe apendekezwa mwanasiasa bora wa Upinzani

Maisha bora aliyozaliwa nayo Mbowe asingekuwa mzalendo tungekuwa tunasikia habari zake kama Kinje Kingunge au le Mutuz!jamaa full mzalendo.
 
Mbowe na dr slaa wameleta mapinduzi makubwa katika siasa za Tanzania.
 
kama sio mbowe na dr slaa ungekuta Tanzania hakuna upinzani ila vyama vya upinzani vingekuwepo kama tlp na act
 
Maisha bora aliyozaliwa nayo Mbowe asingekuwa mzalendo tungekuwa tunasikia habari zake kama Kinje Kingunge au le Mutuz!jamaa full mzalendo.

Hii nikweli kabisa ni watanzania wachache sana wenye maisha mazuri wanaweza kujitoa kama Mbowe na kuwatayari kuatarisha hata maisha yake
 
Hii nikweli kabisa ni watanzania wachache sana wenye maisha mazuri wanaweza kujitoa kama Mbowe na kuwatayari kuatarisha hata maisha yake

Wew ni mpumbavu ,halafu mbowe anawapenda watu wapumbavu Kama ninyi muendelea kuwepo kwenye chama ili muendelea kusema peopleeeee!!!!! ,kwa taarifa yako amna biashara inayolipa kama SIASA ,mtu anaingiza mamilion ya pesa kupitia hicho chama wawa unaaminishwa kuwa anatafuta ukombozi wako pxuuuuu!!!! There is no free lunch sir
 
Mbowe ni mroho ws madaraka ukiutamani uenyekiti anakusukia zengwe ufukuzwe au anaku Chacha Wangwe.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Wacha chuki binafsi.
 
Huwa na mponda sana Mbowe humu ili kwa hoja zako kidogo naanza kumuelewa ila sasa upole wake usiwe na mahusiano na kuhongwa na watawala

Mkuu mbowe ahongwe na watawala tena? Hiyo cdm tunayoiongelea leo hii hisinge kuwa hivi ilivyo.
 

Daaaa,kweli mungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…