Acha mizengwe,Mbona nilisikia hajafika kule wanapo ita mlimani na sifa ya Raisi kikatiba ni Lazima awe na jiwe (Degree) angalau moja - iliyo patikana kwenye Chuo Kikuu cha hapa nchini ila kama ni Chuo cha nje ya nchi lazima kiwe kinatambuliwa na TCU
Lissu, kwa sababu nyingi tu...; pamoja na kwamba wote hawa tokea CHADEMA ni bora kuliko tulivyo sasa.Ni haki yake, lakini kwa sasa Lissu ndio moto Wa kuotea mbali...
Anazima tulio la kulewaHuyu aligaragazwa na JK 2005 ndio atamuweza JPM kweli?!
Tupunguze utani wajameni!
Mkuu mbona unaandika kitu ambacho wewe mwenyewe hukiaminiUna akili sana.Mbowe hana mpango wa uraisi bali lengo ni kuongeza hamasa na pia kuonyesha demokrasia ndani ya CHADEMA ilivyo na hasa pale atapokosa hiyo nafasi yeye kama mwenyekiti na huo utakuwa ni uthibitisha kuwa yeye si dikteta kama inavyosemwa na ma-CCM na ndio maana kakosa licha ya yeye kuwa mwenyekiti.
CHADEMA ina watu very strategic katika kufanya siasa.
Huyo DJ peke yake anasumbua ccm yote hadi wanataka kumuua.Africa tutakuwa watu wa ajabu sana,ni nchi moja tu barani Africa inayoongozwa na DJ, nayo ni Madagascar chini ya andry Rajoelina sasa naona DJ mbowe anataka atembelee nyota ya DJ mwenzake wa Madagascar.
Anajidanganya,Tanzania bado sana hatujafikia kiwango cha kuongozwa na DJ ,yeye akafufue tu club billcannaz yake,huko atapiga mpunga mrefu sana
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Acha wivu wa kike,kama vipi kagombee na wewe.Chifu Mbowe, hadi akiwa kaburini mzimu wake utagombea
Aliahidi kutoa taarifa rasmi ya kuvamiwa pale Dodoma pindi atakapotoka hospitali. Ameshatoa hiyo taarifa?
Labda rais Wa Tanzania konyagiNavuta picha siku hiyo anatangazwa Mbowe kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania๐๐๐.
nafikiri unaongelea UdiwaniAcha mizengwe,
Sifa ni kujua kusoma na kuandika.
Huyo jamaa namjua toka enzi za ujanani alipokuwa anafanya kazi kwenye klabu ya baba yake maarufu kama "Mbowe" mwishoni mwa miaka ya sabini jijini Dar. Sijui kama ana degree yeyote ile.moja ya sifa ya kuwa Rais ni angalau kuwa na degree hivi huyu jamaa si nilisikia ni form four au huwa ni story tu mkuu?
Huyo jamaa namjua toka enzi za ujanani alipokuwa anafanya kazi kwenye klabu ya baba yake maarufu kama "Mbowe" mwishoni mwa miaka ya sabini jijini Dar. Sijui kama ana degree yeyote ile.
Ukraine.Nini DJ, kuna nchi tena ya ulaya, comedian alishika kiti cha urais. Nadhani bado ni rais hata sasa