Huyo ni Magu ambae kwa mujibu wako alikuwa dhalimu!Magu pamoja na ulevi wake wa madaraka, uliwahi kumuona anasumbua wezi wenzake? Alisema gas yetu imeuzwa na wajanja, aliwafanya chochote hao wajanja zaidi ya kuamua kufuata umeme wa maji?
Mwaka wa nini wakati tayari ushahidi mnaweza kutengeneza nyie sukuma Gang? Yaani sasa hivi tunawaona ni wa@sengerema tu. Fanyeni lolote mtakalo lakini Mbowe sio gaidi na katiba mpya ni lazima fullstop.Hata ikichukua mwaka, adhabu ya gaidi ni kunyongwa
Ni suala la muda tu
Huyo ni Magu ambae kwa mujibu wako alikuwa dhalimu!
Vipi kwa huyu mama ambae siyo dhalimu kama yule dhalimu wako?
Siyo dhalimu si aache sasa huo urais?Mama wa kambo sio dhalimu kama yule ibilisi, hapo alipo ni kama kaingia maagano na shetani, hivyo ni lazima aende kama shetani watakavyo.
Siyo dhalimu si aache sasa huo urais?
Si siyo dhalimu?
Pale Mbowe alipotamka hana subira wataanza mara mmoja maandamano na makongamano ya kudai katiba nchi nzima. Lakini pia kuna wafuasi wa chama chake waliosikika wakidai kumyoa SSH kama mtangulizi wake,hiyo kauli tata nadhani ndio imemvuluga SSH.mimi nilishawaambia chadema waende kwa akili na busara, maza amekuja na nia njema wao watumia hisia badala ya akili, ndio maana magu aliwanyoosha. mtu mpole ukimzoea vibaya anaweza kukufanya kitu mbaya kuliko hata yule anayeongea.
Even a pussy dictator yesKila mtu anae mgusa Mbowe ni dikteta , nyie misukule ya Mbowe mna shida
Misukule ina shida sana miaka 10 Lowassa fisadi, ndani ya week Mbowe kamsafisha , misukule yote imekubaliEven a pussy dictator yes
Hili la ku divert attention linaweza kuwa kweli.Mbinu ya kupooza habari ya mwigulu
Likipoa tu anaachiwa na ugaidi unaisha.Hili la ku divert attention linaweza kuwa kweli.
Jiwe kafa kwa uzwazwa wake, acha kuja na mifano isiyohusiana. Haujiulizi kwanini ule upuuzi wa nyungu haupo tena, haujiulizi kwanini elimu ya social distancing na uvaaji musks inahimizwa.Babu yako na baba yako walikufa ilikuwa ni fundisho kwa nani? Mkapa na Prof. Baregu, Maalim Seif, wote na Prince Philip, Mandela ni fundisho kwa nani? Aliye kaa milele ni nani mpaka sasa ambaye hakutolewa fundisho?
Ni seme huwezi ukawa wewe mwislamu, maana waislamu wanaamini kifo ni faradha na kila kumbe kitakufa! Wewe bado unabeza mtu kufa! Unakera kwa ukosefu wa akili.
Wanacheza na akili za mazuzu.Likipoa tu anaachiwa na ugaidi unaisha.
La Sabaya lilikuwa ni kupitisha tozo bungeni
Siyo dhalimu kama yule ibilisi wako, kwahiyo mambo ni super!Urais sio udhalimu, ila akilazimisha kutawala kama yule ibilisi lazima awe dhalimu.
Pia ni mbinu ya kutafunia kodi zetu si ajabu ukaambiwa gharama za kumkamata na kumzuia ni milioni 20, maana wabongo kwa upigaji ni sawa na dawa na mswaki,watu wanaweza wakatengeneza dili la kukamata wapinzani Ili wapate 10%.Jiulize toka lini Mbowe amewahi kuwa tishio kwa usalama wa nchi,watz Wana shida nyingi ambazo badala ya kuwa bize kuzitatua wao wapo bize na visivyomsaidia mtza.Wanacheza na akili za mazuzu.
Katiba ya mavi yako
Mbowe ni gaidi na adhabu ya gaidi ni kunyongwa
Enzi za Nyerere na wenzake wote walikuwa ni wapuuzi mbele ya wakoloni,hatima ya upuuzi wao ni Tanganyika kuwa huru.Atengwe Kisa Mbowe na wapuuzi wake au? Pole Sana
Uhuru gani unaoupigania we kenge?Enzi za Nyerere na wenzake wote walikuwa ni wapuuzi mbele ya wakoloni,hatima ya upuuzi wao ni Tanganyika kuwa huru.
Ungekuwa na akili hata kidogo tu ungejua ni uhuru gani ninaoupigania.Uhuru gani unaoupigania we kenge?
Ulihesabia kura wapi? Jpm alikuwa chaguo sahihi kwa tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu angechagua lisuWapiga kura hawakufika 10m, lakini Magufuli aliagiza atangazwe kwa kura 12m+! Kama huamini ingia tovuti ya tume ya uchaguzi kama hayo matokeo yapo.