Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Tabia na kasumba ya kutegemea mtu mmoja kuwa kila kitu katika chama imekighalimu Chadema na wafuasi wake.

Sasa hivi wameishiwa pumzi za kisiasa na hawana tambo na wamekuwa kama yatima wa kisiasa. Hawajui juu ya future yao kisiasa itakuwaje?

My take; Ni wazi kuwa Chadema kuna mfumo wa one man band, mfumo ambao umewakwamisha kwa miaka 20. Waachana nao kabisa.
 
yani wamechoka walishaozoea mwamba tuvushe sasa chama kina wafia hawana ujanja waliobaki ni kwenye mitandao tu
 
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Kumbe Kuna PC zake tunazo
 
DG wa TISS anahusika vipi na kukamatwa kwa Mbowe na polisi? TISS imehusika wapi kwenye lile tukio, nani alikuwa hajui kama Mbowe yuko ukumbini mpaka watumie wanausalama kujua. Hii ni issue ya polisi na wao wameagizwa
Proof
 
Da njoo dm mkuu inatakiwa ujengewe sanamu jamaa karb na Diwan alikuwa na cheo gan na kwa nn hajauliwa
 
Unapaswa kutunukiwa degree ya ufalsafa. Umenena Mkuu.
 
Wewe Barafu unaamini Tz kuna intelligence? Hii inayoruhusu ma ded wezi kurudishwa kwenye u ded? Ovyo kabisa
 
Ule ulinzi wote ilikuwaje mtu kama Mbowe ahusike na kifo kirahisi hivyo? Wallah ukiwa ccm tu akili unakuwa umemwachia mtu wewe unabaki na fuvu tupu.
Ww akl zp matakn ushaambiw kn wt wndani wlkw wnahusika na wmfkzw Kaz huelw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…