Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13, za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa, hawa ni wamama, hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu,blakini hapa ni wanaume wenye vifua, wenye silaha, wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”. Mhe. Mbowe.
Hapa ndo huwa namkumbuka Charles Mloka na kauli yake kwenye vitabu vyake kwamba" when it comes to politics everything is politics"
Hawa wapinzani kama hivi ndo wanajidanganya wanadai haki waendelee, huko ni zaidi ya kutafuta huruma, hovyo kabisa
Ni aibu kwa mtu mzima kwa utter such a fallacious statement!! Hivi wapinzani wanashindwa kutafuta other mechanism to deal with CCM??? Kweli mtu mzima unaitisha mikutano kila mkutano ni yale yale??? Hatari hii
Please come with solutions, malalamiko haya hayatawasaidia, mmeanza kulalamika tangu 2015 Rais Magufuli alipoingia madarakani, a fundamental question to ask, what a new have you brought therefore with this press conference? Mtalalamika hadi lini? Kipi tunaweza kuhoji leo mkatupa jawabu lililosahihi juu ya hiki mnachoita kudai haki?? Kama mtaendelea na siasa kama hizi miaka mitano sasa hakuna la maana mtaishia magerezani kwani mmeshindwa kuleta majawabu badala yake mnasubiri CCM ikosee ndo muanze kulalamika huku wenzenu wanapiga hatua, badilikeni!
Sent using
Jamii Forums mobile app